MWIGULU: POLISI WAKAMATENI WANAOWAKEJELI
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu wanaokejeli vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Nchemba aliyasema hayo jana wakati akizungumza na askari polisi, askari magereza na askari wa idara ya uhamiaji mkoani hapa ili kujua changamoto wanazokabiliana nazo.
Mwigulu: Polisi wakamateni wanaowakejeli
Hivi chemba na nape Ni ndugu? Hawatumiagi vichwa vyao vizuriMWIGULU: POLISI WAKAMATENI WANAOWAKEJELI
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu wanaokejeli vyombo vya ulinzi na usalama nchini.
Nchemba aliyasema hayo jana wakati akizungumza na askari polisi, askari magereza na askari wa idara ya uhamiaji mkoani hapa ili kujua changamoto wanazokabiliana nazo.
Mwigulu: Polisi wakamateni wanaowakejeli
Nyani, let us be professional, let us define Kukejeli first so that we have a common base for presenting our arguments. Kama hatujakubaliana definition ya "kejeli" hatuwezi kuwa na jawabu linalokubalika kwa wote ie is kukejeli a crime according to our book of laws! Is it provided for in the penal code!Kejeli nayo imekuwa kosa la kuweza kumfanya mtu akamatwe?
Hawa watu bana!
Ban hazijakuchosha?waanze na yeye.
swissme
Nyani, let us be professional, let us define Kukejeli first so that we have a common base for presenting our arguments. Kama hatujakubaliana definition ya "kejeli" hatuwezi kuwa na jawabu linalokubalika kwa wote ie is kukejeli a crime according to our book of laws! Is it provided in the penal code!
MisdemeanorBut is it a crime, though?
If it is, what category does it fall under?
Infraction? Misdemeanor? Felony?