GE2025 Mwigulu Nchemba: Wapuuzeni wanaosema tumechapisha fedha, nchi ina akiba ya Dola Bilioni 6.7 (sawa na Trilioni 16)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,614
Reaction score
40,160
Mgombea Ubunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaosambaza taarifa za uongo mtandaoni kwamba serikali imechapisha fedha kwa ajili ya kufadhili shughuli za Uchaguzi Mkuu ujao.

Amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na zinalenga kupotosha umma pamoja na kuchochea taharuki kisiasa.

Akizungumza kwenye mkutano mkubwa wa kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliofanyika mjini Mpanda mkoani Katavi, Dkt. Mwigulu alisisitiza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasimamia kwa umakini masuala ya fedha na uchumi wa taifa.

Amebainisha kuwa serikali ina akiba ya kutosha na haina haja wala mpango wa kuchapisha fedha mpya kama inavyodaiwa.

Dkt. Mwigulu pia alieleza kuwa mchakato wa kuchapisha fedha ni wa kitaalamu, unaohusisha taasisi maalum zenye uwajibikaji mkubwa, hivyo hauwezi kufanywa kiholela.

Kumbuka wakati tukielekea Oktoba 29 kwenye Uchaguzi Mkuu, fyucha ya Tanzania iko mikononi mwako kwa kuhakikisha unashiriki kwa kujitokeza kupiga kura.

Muongo, Zimbabwe walikuwa wanjichapishia fedha tu wanavyotaka, nchi zote duniani zinaweza kuchapisha fedha kadri zinavyotaka
 
Kichaa kmeamka unadhan utasema nn zaid ya haya ulosema.
 
Kuna kutoa jibu katika utoaji majibu ukaleta taharuki; Kwahio hio Akiba iliyopo ndio ni ya kufuja ?!!!!; Sababu issue kuu sio uchapishaji (kama mnachapisha ili mleta maendeleo sawa) ila kama mnachapisha ili kufadhiri Maigizo sio sawa.....

Ku
Mgombea Ubunge wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuwapuuza watu wanaosambaza taarifa za uongo mtandaoni kwamba serikali imechapisha fedha kwa ajili ya kufadhili shughuli za Uchaguzi Mkuu ujao.

Amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na zinalenga kupotosha umma pamoja na kuchochea taharuki kisiasa.

Akizungumza kwenye mkutano mkubwa wa kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, uliofanyika mjini Mpanda mkoani Katavi, Dkt. Mwigulu alisisitiza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasimamia kwa umakini masuala ya fedha na uchumi wa taifa.

Amebainisha kuwa serikali ina akiba ya kutosha na haina haja wala mpango wa kuchapisha fedha mpya kama inavyodaiwa.

Dkt. Mwigulu pia alieleza kuwa mchakato wa kuchapisha fedha ni wa kitaalamu, unaohusisha taasisi maalum zenye uwajibikaji mkubwa, hivyo hauwezi kufanywa kiholela.

Kumbuka wakati tukielekea Oktoba 29 kwenye Uchaguzi Mkuu, fyucha ya Tanzania iko mikononi mwako kwa kuhakikisha unashiriki kwa kujitokeza kupiga kura.

Kumbe mambo ya mtandaoni wanayasikiliza vizuri
 
Kwani kuna nini walikiri? Wanasiasa wa bongo hata akikwambia usiku umeingia we toka nje ucheck kuprove...
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Muongo, Zimbabwe walikuwa wanjichapishia fedha tu wanavyotaka, nchi zote duniani zinaweza kuchapisha fedha kadri zinavyotaka
Vibali vya Kuchapisha fedha sio rahisi ivyo soma sheria za taasisi zinazomonita pesa uone Duniani
 
Back
Top Bottom