swali ni je, amebebe zege? na inaonekana alipomaliza 'masaters' aliajiriwa BoT moja-kwa-moja!Of course nyinyi mliokulia ktk familia za kifisadi hamuwezi kumwelewa Mwigulu uzoefu aliouzungumzia,ila wale waliokulia ktk familia za kikabwela ndiyo waliomwelewa zaidi.Mwigulu was talking to ordinary Tanzanians, his world view about Tanzanian economic development resonates well with ordinary/middle class tanzanians views.
swali ni je, amebebe zege? na inaonekana alipomaliza 'masaters' aliajiriwa BoT moja-kwa-moja!
swali ni je, amebebe zege? na inaonekana alipomaliza 'masaters' aliajiriwa BoT moja-kwa-moja!
Wewe ndo unatakiwa ueleze kama alifanya nini baada ya kumaliza 'Masters'...swali ni je, amebebe zege? na inaonekana alipomaliza 'masaters' aliajiriwa BoT moja-kwa-moja!
Ukimwamini madelu basi utakubali kurubuniwa asubuhiiikwahiyo wewe unavyokataa kwani wewe ndiyo mzazi wake kwamba unamjua vizuri au ndiyo umbea wa kupinga kila kitu.
Huyu kijana ni laghai wa siasa.. Haaminiki kwa watu wenye akili zaoTusimjibie wadau. Tunamhitaji afafanue ila kwangu nimeondoa points kadhaa kwake.
Of course nyinyi mliokulia ktk familia za kifisadi hamuwezi kumwelewa Mwigulu uzoefu aliouzungumzia,ila wale waliokulia ktk familia za kikabwela ndiyo waliomwelewa zaidi.Mwigulu was talking to ordinary Tanzanians, his world view about Tanzanian economic development resonates well with ordinary/middle class tanzanians views.
Mkuu. Kumbuka mtu muongo huwa hana kumbukumbu ya kile alichodanganya hata kama ingekuwa ndani ya dakika 10 lazima asahau alichokisema maana ni uongo. Hiyo ni sifa mojawapo ya mtu muongo.
Mwigulu ni tapeli la kisiasa. Amesahau kuwa tunajua alifeli darasa la saba na badala yake akanunua jina la mtu aliyekuwa amefaulu aitwaye Mwigulu.
maswali ni je alibeba zege?.... Na mkewe akawa Mama ntilie.. Na ni Mtaa upi huo huyu binti alikuwa ntilie?Ukimaliza masomo unaajiriwa papo hapo?