Mwigulu Nchemba, shujaa wangu

Mwigulu Nchemba, shujaa wangu

TOURMALINE

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
24
Huyu ndiye mwanasiasa ninayemkubali na kumpigia mfano kwa sasa hapa nchini.Nmefatitilia siasa zake na uongozi wake kwenye bunge na jamii kwa ujumla na vitu nlivyovigundua ni kwamba huyu jamaa yupo safi kwa kila kitu.Yeye ndo mfano wangu.Natamani cku moja niwe na uwezo wa kisiasa na kiuongozi kama yeye.
 
Mfono wa kuigwa ww kanungu yy umepewa nn na huyu chemba ya mavi?
Au amekupakua vzr nn hebu tuambie ukwl!
Huyo unayemsifia mbona ni shetana na limeota mapembe?
Mwizi, chambaz hilo, bakaji muuaji!! Majina yote yake hayo,
Bomu la soweto na olasiti arusha yy ndo mratibu kama huamin mwambie kikwete wako aunde tume huru ya majaji huru hataki,
Ameshia kusafir uingereza na huyo mwigulu kila kukicha sijui ndo wanampango wa kuratibu ushoga!!!
 
Bora ungesema hata Kaptain John Komba ningesema umependa taarabu zake.
 
Kamwe shujaa wangu hawezi kufanya unyama kama huo.Anawapenda na kuwaheshimu watu wake.Hayo ni maneno ya kuchafuana.Atakuwa mfano kwangu daima

Wewe hata Kagame atakuwa shujaa wako.
.
 
Kitu gani hicho ulichofuatilia ukaona yupo safi, ama ni ile skafu ya bendera ya Taifa. Maana huwa ni safi siku zote ninazomuona nayo.
 
Kitu gani hicho ulichofuatilia ukaona yupo safi, ama ni ile skafu ya bendera ya Taifa. Maana huwa ni safi siku zote ninazomuona nayo.
Nmemfuatilia tangia akiwa mchumi wa chama mpaka sasa naibu waziri wa fedha, ni m2 mwenye uchungu na maendeleo ya nchi yake.Anapenda kuona kiwango cha elimu, uchumi na maendeleo ya nchi kwa kila nyanja yanaboreka zaidi na zaidi.
 
Kamwe shujaa wangu hawezi kufanya unyama kama huo.Anawapenda na kuwaheshimu watu wake.Hayo ni maneno ya kuchafuana.Atakuwa mfano kwangu daima

TOURMALINE;
Naamini kuwa huna huo moyo wa jinsi hiyo tu. Kweli umekosa role modal wa kuiga mpaka huyo?? Amekufanyia nini au unapima ujue kama watu wanamsemaje?
Siendi hata kumsema kwenye mabomu kwani hakuna mwenye ushahidi mathubuti kwa hilo lakini; Je ile mitusi yanguoni aliyo tukana kule Arumeru, hayo kwako wala hayakukutikisa? Basi nikuongezee kwenye listi ya wapenzi wako ongeza, JK na Livingstone Lusinde.
Kweli nimeamini, Kila shetwani na BUYU LAKE.:der:
 
wewe kwenu TANGANYIKA au TANZANIA
 
Huu mtandao sasa naona unapoelekea si pazur mashoga wanatuvamia, kabutuliwa cku moja tu kaja na sifa kemkem, na nasikia safar hii umepewa gar ile ya kilimo kwanza
 
Huu mtandao sasa naona unapoelekea si pazur mashoga wanatuvamia, kabutuliwa cku moja tu kaja na sifa kemkem, na nasikia safar hii umepewa gar ile ya kilimo kwanza

Nashukuru sana kwa matusi yako.Mimi cna kipaji cha ku2kana ila nina uwezo wa kuchambua na kufuatilia vi2 kwa mazingira halasi na c kwa kufuata upepo.Sorry kwa hilo
 
Kitu gani hicho ulichofuatilia ukaona yupo safi, ama ni ile skafu ya bendera ya Taifa. Maana huwa ni safi siku zote ninazomuona nayo.

hiyo ni chafu kuliko imejaa najisi ya SHA. HA. WA za wake za watu
 
Back
Top Bottom