Mwigulu Nchemba, shujaa wangu

Mwigulu Nchemba, shujaa wangu

Huu mtandao sasa naona unapoelekea si pazur mashoga wanatuvamia, kabutuliwa cku moja tu kaja na sifa kemkem, na nasikia safar hii umepewa gar ile ya kilimo kwanza

kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mimi kwe2 ni TANZANIA BARA tena KILIMANJARO

Tunafanya jitihada za kukutafutia hospitali iliyo bora ili ukapate matibabu stahiki kutokana na maradhi yanayokukabili. Unasomeka kuwa na ulemavu wa viungo, na kiungo kinachohusika hapo ni ubongo.

N.b Hakujawahi tokea nchi ikiitwa "tanzania bara"
kwa majibu hayo haishangazi mwigulu kuwa shujaa wako.
 
tunafanya jitihada za kukutafutia hospitali iliyo bora ili ukapate matibabu stahiki kutokana na maradhi yanayokukabili. Unasomeka kuwa na ulemavu wa viungo, na kiungo kinachohusika hapo ni ubongo.

N.b hakujawahi tokea nchi ikiitwa "tanzania bara"
kwa majibu hayo haishangazi mwigulu kuwa shujaa wako.
cjakuambia natokea nchi ya tanzania bara bali natokea tanzania bara.wewe ndo akili yako mbovu.umenukuu kama hilo neno ni nchi.uelewa wako ni mdogo
 
Huyu ndiye mwanasiasa ninayemkubali na kumpigia mfano kwa sasa hapa nchini.Nmefatitilia siasa zake na uongozi wake kwenye bunge na jamii kwa ujumla na vitu nlivyovigundua ni kwamba huyu jamaa yupo safi kwa kila kitu.Yeye ndo mfano wangu.Natamani cku moja niwe na uwezo wa kisiasa na kiuongozi kama yeye.

Nakuunga mkono mkuu,Mwigulu yupo makino
 
cjakuambia natokea nchi ya tanzania bara bali natokea tanzania bara.wewe ndo akili yako mbovu.umenukuu kama hilo neno ni nchi.uelewa wako ni mdogo

Sasa nyoosha maneno.
Unatokea nchi gani wewe kati ya TANGANYIKA na TANZANIA
 
Pumbafu na ww unataka kua kinara wa vurugu na ugaidi hapa mtaani mwehu ww
 
Hivi anawalipa au nini maana naona hizi siku mbili kwenye mitandao ypote facebook wapi mnamsifu tu
 
hili tatizo la ajira serikali ilichukulie seriously, next step ya mtu kama huyu ni kufirika tu hapa mjini, huyu hana next option nyingine ya kuweza kuishi na kujipatia kipato.
 
Hivi anawalipa au nini maana naona hizi siku mbili kwenye mitandao ypote facebook wapi mnamsifu tu

Hatufahamiana hata kidogo ila mambo mazuri anayoyafnya kwa ajili ya nchi ndo mana namkubali.Ni kama ninavyomkubli NYERERE ina mana naye alinilipa.Kuwa na uelewa kidogo
 
hili tatizo la ajira serikali ilichukulie seriously, next step ya mtu kama huyu ni kufirika tu hapa mjini, huyu hana next option nyingine ya kuweza kuishi na kujipatia kipato.
Uclolijua ni kama ucku wa kiza.Mi ni injia wa madini na mpaka sasa nafanyakazi katika moja ya migodi huku kahama.Na muda c mrefu nataka kuanzisha small scale gold processing plant.Ucdhani kila m2 ni kama hao wahuni unaowa2kana kila cku.
 
Hatufahamiana hata kidogo ila mambo mazuri anayoyafnya kwa ajili ya nchi ndo mana namkubali.Ni kama ninavyomkubli NYERERE ina mana naye alinilipa.Kuwa na uelewa kidogo

Shujaa wako hamfahamiani?? acha kudanganya watu.Mtu anakupumulia kisogoni kila siku mpaka ukamwita shujaa wako unadai humfahamu? unamfahamu nae anakujua mpaka ndani kwako.
 
Huyu ndiye mwanasiasa ninayemkubali na kumpigia mfano kwa sasa hapa nchini.Nmefatitilia siasa zake na uongozi wake kwenye bunge na jamii kwa ujumla na vitu nlivyovigundua ni kwamba huyu jamaa yupo safi kwa kila kitu.Yeye ndo mfano wangu.Natamani cku moja niwe na uwezo wa kisiasa na kiuongozi kama yeye.

Huyo ana nini kipya hana maana yeyote tena wewe unamsifia bure waulize watu wa jimbo lake wanavyomchukia kama ukoma
 
Back
Top Bottom