Mwigulu nchemba nimeamini wewe ni bogus,unatudharirisha watanzania

joharry

Member
Nov 22, 2014
54
0
Mwigulu nchembe ni bogus kati ya mawaziri wote,hizi ni dharau na kejeri kwa watanzania,ivi unapata wapi ujasiri wewe kama waziri mwenye dhamana ya fedha na kuwambia watanzania kuwa utahakikisha wote walio pewa mgao wa pesa za escrow wanalipa kodi??

Ivi kweli kama ni pesa chafu na pesa za wizi wanalipaje kodi watu hawa?

Ivi jamani watanzania wenzangu tumeridhia kabisa kuongozwa na hawa ma bogus ndo maana tumeanzisha vita ya professionals????
 

zegebovu1

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
415
250
Nafikiri umeshindwa kupangilia hoja yako, ila pia umesema kama ni pesa chafu watalipaje kodi hiyo "kama" haihakikishi kama ni pesa chafu so ikiwa pesa halali wanapaswa kulipa kodi, mwigulu siyo bogus. Kama ni pesa chafu kweli wasilipe kodi ila wafilisiwe na mali zao waporwe na sheria ifuate mkondo wake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom