Na bado mtasema yote
Yaani unatuwekea humu mtazamo wa akili ndogo,unahitaji kupimwa akili,siku zote unapomsapoti chizi kwa uchizi wake basi wewe unakuwa ni chizi kuliko chizi aliyekushawishi kuufuata uchizi
Na bado mtasema yote
Hakika Mwigulu ni kiongozi safi sana
Rais wetu 2015
sawa hata mwigulu haitaji wapumbavu kama wewe kwenye Mkutano wake.musoma oyeeeeeee kesho ndani ya Mkendo
nitakaribia mamasawa Aunt but karibu sana kesho mkendo uwanjani na tunakukaribisha sana.
Labda awe raisi wa lumumba
Sifa ya mtu kuishabikia ccm ya leo,kuwa juha,kuwa na akili fupi,kuwa mchumia tumbo,kuwa fisadi na kuwa mpumbavu kama wewe ulivyo
Sifa za mtu kuwa ccm ya leo,ni kuwa juha,kuwa.mpumbavu,kuwa mchumia tumbo,kuwa fisadi,kuwa mnafiki na kuwa mpumbavu kama wewe ulivyo
Wanafikiri watanzania wote ni mabwege kama wanachama wao wa ccm. Liwe livumilivu na lijiandae kwa zomeazomea ya hapo Mukendo kesho.Katika khali inayoonyesha mizizi ya ufisadi imekomaa kwenye hili taifa, Mwigulu aliagiza waporaji wa hela chafu za ESCROW walipe kodi ili kuzihalalisha.
Inatisha hasa pale kila mbunge alipomwona ni kiongozi wa kutumainiwa.
I was shocked beyond comprehension!.Karibu musoma tukupe jampa jampa huku ni kwa watu tunaojielewa
Wanafikiri watanzania wote ni mabwege kama wanachama wao wa ccm. Liwe livumilivu na lijiandae kwa zomeazomea ya hapo Mukendo kesho.
Wanafikiri watanzania wote ni mabwege kama wanachama wao wa ccm. Liwe livumilivu na lijiandae kwa zomeazomea ya hapo Mukendo kesho.
Njoo umsikie rais aliyependekezwa 2015
Hapana Mwigulu ni Jembe la Taifa la Tanzania.