Mwigulu Nchemba ndani ya kwa Mzee Cheo Bariadi Mashariki

Mwigulu Nchemba ndani ya kwa Mzee Cheo Bariadi Mashariki

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11012504_424986587703575_2255447606500340488_n.jpg
11180329_424986884370212_524845765637406350_n.jpg
Mwigulu Nchemba akiwa amaembatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Bariadi Mashariki wilaya mpya ya Itilima Ndg.Njalu wakiwasili kwenye viwanja vya Laini kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi wilayani humo.
12011200_879674105419748_2493844376411494790_n.jpg
Wananchi wakisukumana kuhakikisha kila mmoja anashikana mkono na Comrade Mwigulu Nchemba ambaye ni Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Iramba.
12009736_424987584370142_6224858859792391506_n.jpg
11990460_424986687703565_3066477649522458725_n.jpg
Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe Ubunge wilaya ya Itilima Ndg.Njalu mapema hii leo wakati wa mkutano wa kampeni.
11917489_879674412086384_3679220236313068356_n.jpg
Mwigulu NChemba akizungumzia uchapa kazi wa Ndg.Njalu ambaye mbali ya kuwa ni Mbunge Mtarajiwa wa Jimbo la Bariadi Mashariki,Pia ni MNEC wa chama cha Mapinduzi kutoka jimbo hilo hilo.
​

Njalu anasifika kwa kushiriki kazi za Maendeleo ya WIlaya ya Itilima ikiwamo ujenzi wa shule,Maabara na Vituo vya Afya mbalimbali ndani ya wilaya hiyo.
10430415_879674455419713_28442693084943506_n.jpg
Ndug.Njalu ambaye ni Mbunge mtarajiwa wa Itilima akiahidi kwa Wananchi wake kuwa atakuwa MCHAKA KAZI ndani ya nje ya Itilima,ameahidi kuhakikisha anaboresha Elimu na AFya,Barabara na Upatikanaji wa marisho ya Wafugaji.
11214316_424987311036836_9207046272730822355_n.jpg
Hisia za Wananchi wa Itilima Mkoa wa Simiyu kwa Mbunge wao Mtarajiwa.
11216583_424986647703569_1730189855463163425_n.jpg
Wananchi wakishangilia Ufunguzi wa Kampeni wa Wilaya ya Itilima uliofanyika hii leo.
11222293_424987091036858_5453320579275290373_n.jpg
Sehemu ya Mamia ya Wananchi wa Itilima wakishangilia Uteuzi wa Ndg,Njau kuwa mgombea Ubunge jimbo lao ambalo kwa muda mrefu limekuwa likishikiriwa na Mbunge wa UDP Mh.Cheyo.
11988733_424987491036818_7002819341007305871_n.jpg
Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge wa wilaya ya Itimia Ndg.Njalu wakiondoka kwenye viwanja wa Laini mara baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni kuelekea kilele chake cha tar.25/10/2015.

Picha na Sanga Festo Jr
​
 
lowassa ndio rais wa tanzania kuanzia october 25th 2015​
 
Back
Top Bottom