Ameenda kutubu, muuaji mkubwa huyo
Mwigulu anawasumbua sana chadomo
Yeyote anaeamini huo ushirikina.
Ninafuatilia Sunday Service ya Emmanuel TV, namwona Mwigulu Nchemba akiwa amekaa siti ya mbele huku akiwa amefunga scarf yake na fulana nyeusi kama zile walizovaa wasanii siku ile ya sherehe za CCM Mbeya.
Source: Ni mimi mwenyewe naangalia. Mwenye access ya Emmanuel TV afungue.
----------------------

TB.JOSHUA NI ILLUMINANT,bonge la freemason ukitaka kuamini nenda google search satanic symbols au satanic churches utashangaa kumwona hadi papa ni mmojawapo.