Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

Sio anatoka huko anaendelea kung'oa watu meno ns kugombanisha watu akifikiri mungu ni mchezo mchezo atapata laana asizozijua.
 
Kwa kuwa yeye pia ni mwenzetu hapa tunamuomba aje a tushirikishe habari za huko hapa ili na sisi tuvune alichopata huko, tena atuambia mbona leo Prophet alikua mkali sana kulikoni? au aliona mambo ya ajabu kwa washiriki toka Tanzania maana walikua kibao, haya je mwenzetu umeenda kupitia nani? Coordinator Martha au huyo tunayemsikia mpya mama Ngimbwa? tell us your experience umerudi na wrist band ama bado hazijatoka? tunakuombea utunze muujiza wako na kwa hali ya yule bi ushingi alivyo unaweza ukaukwa uwaziri sasa hivi si unajua dhaifu hakawii
 
attachment.php
 
Interesting!

Hata Lowasa alikwenda huko.

.... hata Joyce Banda.

Busara na akili havifanyi kazi tena katika siasa siku hizi huku Afrika ya Sahara
 
Ameenda kutubu, muuaji mkubwa huyo

Kasuku huongea bila kufikiri ilimradi asikike sauti, usiongee kichove bila kufikiri. Unapo mtuhumu mtu kwa makosa ya jinai bila ushahidi ni sawa na mwenda wazimu kukojoa mbele za watu.
 
Pale alipoenda mwiguli ni sehemu takatifu ya ibada. Mungu amtimizie haja zake kama binadamu wengine
 
Tatizo la watu humu jamvini ni sawa na hadithi ya Nyoka. Wakiambiwa nyoka huyo yuko Morogoro wanasema na apite, nyoka huyo yuko chalinze na apite. basi hadi wasikie nyoka huyo yuko miguuni kwako ndio wanaanza kuhangaika. Inabidi watu humu tusome ishara za nyakati na sio kubeza kila kitu. Huyo Mungu ni wa yeyote anayemhitaji. Kasema njoni kwangu NYOOTE na hakusema wala kutaja mtu. alisema NYOOTE.
 
Ninafuatilia Sunday Service ya Emmanuel TV, namwona Mwigulu Nchemba akiwa amekaa siti ya mbele huku akiwa amefunga scarf yake na fulana nyeusi kama zile walizovaa wasanii siku ile ya sherehe za CCM Mbeya.

Source: Ni mimi mwenyewe naangalia. Mwenye access ya Emmanuel TV afungue.

----------------------


attachment.php

TB.JOSHUA NI ILLUMINANT,bonge la freemason ukitaka kuamini nenda google search satanic symbols au satanic churches utashangaa kumwona hadi papa ni mmojawapo.
 
Glory to God hakika mungu anaendelea kutuponya na udhalimu wetu nampongeza Mwigulu kachagua mahali panapofaa si kwenda kwa waganga haleluya jina la Bwana lizidi kuinuliwa
 
Jana nimeshuhudia kwa macho yangu tena alipewa nafasi ya muda mrefu pale kanisani ya kumwita Prophet TB Joshua jina lake hakika mungu ana makusufi hakuliita bure amesamehewa kwa yote ya nyuma
 
Neno linasema msimnee mtumishi wa mungu mabaya, wote wanaoropoka humu ndani juu ya mtuhimishi huyu wa mungu, na sisi pia tunaoyasoma, mungu aturehemu, ninachukia sana watu wanaochafua kila mtu tena hawa ndio wale ambao are least informed, ndio taifa letu lilipofika, watu wasio na mbele wala nyuma, wanaotaka wote tuwe kama wao, naku salute brother Mwigula, tazama hakuna utakachopoteza bali pia utawekewe nafasi mbinguni, need I say more?
 
Ninafuatilia Sunday Service ya Emmanuel TV, namwona Mwigulu Nchemba akiwa amekaa siti ya mbele huku akiwa amefunga scarf yake na fulana nyeusi kama zile walizovaa wasanii siku ile ya sherehe za CCM Mbeya.

Source: Ni mimi mwenyewe naangalia. Mwenye access ya Emmanuel TV afungue.

----------------------


attachment.php

Tunaomba utuonesha hiyo Tshirt Nyeusi uliyoisema Comrade Mwigulu Nchema ameivaa huku SCOAN??

Tatizo huwa mnakurupuka na Thread za Kishangingi kama Isha Mashauzi tu!
 
Back
Top Bottom