Hv mwigulu Nchemba kitendo cha kuvaa skafu hadi makanisani nini manake,nimeanza patwa mashaka hakika pengne ni hirizi yake,mana haiwezekani kila uendako unako,ndio mlinzi wako,Mungu amesema Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake,kila mahali umelivaa tu,si kanisani,msaidien huyu kijana,
DJ kuvaa miwani anaficha mini?
Mjinga unajijibu mwenyewehyo ndo kinga yake,
Makengeza.DJ kuvaa miwani anaficha mini?
DJ kuvaa miwani anaficha mini?
Leo umekunywa gongo na viroba kwa pamoja ee?Hv mwigulu Nchemba kitendo cha kuvaa skafu hadi makanisani nini manake,nimeanza patwa mashaka hakika pengne ni hirizi yake,mana haiwezekani kila uendako unako,ndio mlinzi wako,Mungu amesema Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake,kila mahali umelivaa tu,si kanisani,msaidien huyu kijana,
Umeshameza vidonge!??
Hv mwigulu Nchemba kitendo cha kuvaa skafu hadi makanisani nini manake,nimeanza patwa mashaka hakika pengne ni hirizi yake,mana haiwezekani kila uendako unako,ndio mlinzi wako,Mungu amesema Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kuwa kinga yake,kila mahali umelivaa tu,si kanisani,msaidien huyu kijana,
Yaani wewe jamaa kuuutwa unatema uharo kwa mdomo. Sasa miwani wewe hujui kazi yake?! Kwahiyo Mnadhimu wenu naye ili ya kwake kuna kitu anaficha au?! Bure kabisa wewe, nilikuwa nakuona una maana kumbe mpuuzi wa mwisho.