Mwigulu Nchemba Mwanasiasa Bora Kijana wa Kizazi cha Sasa

Status
Not open for further replies.
Mbali na kuwa msomi pia ni baba bora wa familia na mwanasiasa mwenye muono wa mbali na pia mwenye uzalendo kwa taifa lake.

Mwigulu amekuwa mkali sana kwa wake wote wanaotishia amani ya taifa letu hii hapa ni moja kati ya nukuu zake zilizojaa busara na uzalendo mkuu.

Mwigulu Nchemba

"WAACHENI WATOTO WAJE KWANGU MAANA CHAMA HIKI NI CHA WATU WOTE''.

''NA MTU YEYOTE ANAEIHUJUMU SERIKALI YA CCM AKIDHANI ANAIKOMOA CCM ANAWAHUJUMU WATANZANIA.KWA KUWA HAKUNA TAIFA LINAITWA CCM''.

Mungu ibariki Tanzania, Munguibariki Africa.
kuna muda mwingine sio lazima upost vitu ambavyo vitakela watu na wengine ukawasababishia watabike kwa thread za kujinga namna hii hivi wewe unaongelea Mwigulu ni baba bora una mfaahamu Lucy mkewe ana miezi mingapi ajamuona mumewe ?dada wawatu anafanya kahi hapa bomani (ILAMBA) anatia udhini mkubwa yaani mwigulu kila siku yeyeni vikaoo .eti una mwita baba bora wafamily pole
MOD
UINASUBILI NINI KUONDOA HII ?
 
bwana mwigulu naona umeongeza id ya iron finger hii id ulimboka na kibanda wanaijua sana hongera.
 
Hahaha...... ama kweli ukistajaabu ya Musa... kweli simba akikosa nyama hula hata majani.
 
Nimeamini yule aliyesema kule kwenye thread ingine kuwa huyu ni chemba mwenyewe.....i just love jamii forum,full of people with big brains.....
 
Kama ndani ya ccm huyu ndo mwanasiasa kijana bora, basi ccm imekwisha, mpaka walipuaji wa mabomu wanasifiwa, masikini tanganyika!
 
mbali na kuwa msomi pia ni baba bora wa familia na mwanasiasa mwenye muono wa mbali na pia mwenye uzalendo kwa taifa lake.

Mwigulu amekuwa mkali sana kwa wake wote wanaotishia amani ya taifa letu hii hapa ni moja kati ya nukuu zake zilizojaa busara na uzalendo mkuu.

mwigulu nchemba

"waacheni watoto waje kwangu maana chama hiki ni cha watu wote''.

''na mtu yeyote anaeihujumu serikali ya ccm akidhani anaikomoa ccm anawahujumu watanzania.kwa kuwa hakuna taifa linaitwa ccm''.

Mungu ibariki tanzania, munguibariki africa.

so what??? Kama anakufaa wewe ni lazima utushirikishe??? SO WAKE NI WAPI?? WEWE? (KWENYE BOLD)
 
teh teh teh!mkuu mbona umeandika vitu vya ajabu?ndiyo namna ya kupata mkate wa leo?

Acha kuchezea maneno matakatifu ya biblia kwa huo ujinga wenu!

Mungu amrehemu huyu mwigulu kwa kuya geuza maandiko ya Mungu kuwa ilani ya chama kiovu cha ccm.Je kale ka habari ka igunga umekasahau ka ku........ wake za watu
 
Mbali na kuwa msomi pia ni baba bora wa familia na mwanasiasa mwenye muono wa mbali na pia mwenye uzalendo kwa taifa lake.

Mwigulu amekuwa mkali sana kwa wake wote wanaotishia amani ya taifa letu hii hapa ni moja kati ya nukuu zake zilizojaa busara na uzalendo mkuu.

Mwigulu Nchemba

"WAACHENI WATOTO WAJE KWANGU MAANA CHAMA HIKI NI CHA WATU WOTE''.

''NA MTU YEYOTE ANAEIHUJUMU SERIKALI YA CCM AKIDHANI ANAIKOMOA CCM ANAWAHUJUMU WATANZANIA.KWA KUWA HAKUNA TAIFA LINAITWA CCM''.

Mungu ibariki Tanzania, Munguibariki Africa.

Mwigulu ni mzuri sio katika siasa tuu Bali hata kichwani jamaa Yuko sawa
 
Namchukia sana Mwigulu Nchemba mwenye jina la Kisukuma sijui alilitoa wapi. Mimi nadhani wanaomsifia huyu jamaa huenda watakuwa hawako sawa akilini mwao kama sio BUKU 7 FC.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom