Mwigulu Nchemba lazima arikishwe mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba lazima arikishwe mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Byendangwero, Jul 23, 2012.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Katika siku za hivi karibuni kulitolewa taarifa kwenye jamii forum ya kwamba jima anololitumia katibu wa fedha na mipamgo ccm, siyo la kwake bali alilipoka kutoka kwa mwenye jina hilo kinyemela.Kama hivyo ndivyo kuna kila sababu ya kukumfikisha katibu huyo mahakamani kwa kosa la jinai la "impersonification".
   
Loading...