Pendael laizer
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 958
- 101
Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi, alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo, basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!
wewe nawe ni magamba?mbona hustahili kuwa huko!