#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"
alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
Hivi huyo jamaa ni mzima kichwani mwake au?
ifikie mahali watu wengine tuwapuuze, tutapoteza muda kujadili vitu visivyo na maana.
Dah! Huyu akili zake hutumia muda wa kutöngoza wake za watu.
source please!#18 Mwigulu Nchemba 2012-08-22 16:05
"Huo ni uonevu kwa chama chetu,lakini kwa kuwa mahakama na vyombo vyote vya dola viko chini ya serikali inayoongozwa na sisi yaani CCM kitaeleweka tu,na pili hata wakisema twende kwenye uchaguzi leo tuko tayari hatuogopi kitu sisi,kwani kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji"
alikua akitoa maoni yake juu ya uamuzi wa mahakama kumfumua kafumu wa igunga
jifunze kuwaheshimuni wasomi wa nchi hii wakuu, huyu bwana amesoma Mazengo, Ilboru then UDSM - Bcom na MBA tena 1st ClassHuyo kachoka kifikra angalia hoja zote, na fuatilia kilichotokea rufaa ya nini, na sio vema kwa kiongozi kusema sema ovyo....rage na magufuli ndio wa kukemea....!!
Huyu anafuata nyayo za Pinda, hata katika kuchemsha hayuko original.