Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,281
- 7,061
Namna ya kutatua kero za wananchi. Kutoa maagizo na hata kushughulikia watendaji wa serikali?
Waziri mkuu ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali.
Marehemu Sokoine alikuwa msimamizi mkuu wa shughuli za serikali. Maana hata maagizo yake yaliogopwa.
Vivyo hivyo kwa Kasim mstaafu ambae juzi alipigiwe makofi na vigelegele.
Wewe hukupigiwa makofi na vigelegele.