Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
126
Reaction score
168
Wana Jukwaa,

Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.

Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.

Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
 
1767709955622.png
 
Huu uwaziri mkuu umemfunua Mchemba, kuwa hafai kuwa president material anapwaya sana
 
Wana Jukwaa,

Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.

Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.

Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
Ndugu una ushahidi? Ingawa huyu Bwana tangu zamani ana michezo mchafu
 
2030 Rais anaendelea Samia hadi 2035 ndio anamaliza miaka yake 10 kwa mujibu wa utaratibu wa CCM.
 
Wana Jukwaa,

Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.

Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.

Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
Kwa akili ya mwigulu na kilichofanyika jana ni yeye Pure "Mlemle"
 
Wana Jukwaa,

Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.

Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.

Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
Kama mwigulu siyo katoliki,basi jua hizo ni figisu za 2030,malecela anawajua vizuri hao kwa figisu
 
Wana Jukwaa,

Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.

Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.

Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
Tunamjua, ndio michezo yake huyo.
 
Tumekuelewa dada wa kazi wa Mwigulu ila alichokanusha hakikanushiki...
- x - = +
 
Ni yeye na watu wamepiga panapouma! Anajisumbua tu na huyo ludovick wake akishirikiana na Habibu Mchange! Ajiandae kushindwa vita aliyoianzisha!
 
Wana Jukwaa,

Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.

Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.

Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
Sio tukio hilo tu, bali Mwugulu ameshiriki kupanga na kuratibu maovu mengi ndani ya nchi hii yenye kinga ya dola kuanzia bomu la Arusha, kummwagia kijana Tesha tindikali kisha kumgeuza mtaji wa kisiasa nk. Na ushahidi wa mauvo hayo upo wa kutosha. Aombe tu kibao kisigeuke akiwa hai, huyo atapaswa kukutana na alichokutana nacho Polepole aliyefaidi ukatili wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom