Mambo mengine pasua kichwa ila Lema na nasari wao ni wajumbe tu wa kufikisha ujumbe wa wazee kwa zitto lakini kila mtu anadhambi hakuna aliyemsafi.
Wameandaa mpango wa kumtosa zitto ila nasema tena hawataweza kumwathiri zito bila kuithiri chadema mungu tupe uzima.
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.
Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".
Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.
Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!
Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!
Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?
Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!
Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!
Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?
Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.
Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni
1.Mbowe
2.Dr.Slaa
3.Zitto.
Hao wengine wanatumka tu!
Wewe sio chadema. .utakuwa n magamba. Thread yako imekaa kimipasho zaidi..haya wahi lumumba asubuhi ukavute buku saba zako.
Mkuu tatizo chama chetu bado kinakuwa hivyo misukosuko kama hii haitakiwi.aisee mawatu humu mna hisia dhaifu sana....
anza na wewe mtoa mada!!
Huwezi kubeba vitu vichafu halafu ukawa msafi we ubebe sumu halafu uwe sawa haiwezekani.Wewe si magamba. ..mbona ishu ya upinzani inakuuma sana.povu jiingi na machozi juu...chadema haitakufa..mtangoja sanaaa.
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.
Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".
Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.
Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!
Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!
Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?
Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!
Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!
Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?
Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.
Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni
1.Mbowe
2.Dr.Slaa
3.Zitto.
Hao wengine wanatumka tu!
Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.
Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".
Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.
Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!
Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!
Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?
Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!
Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!
Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?
Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.
Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni
1.Mbowe
2.Dr.Slaa
3.Zitto.
Hao wengine wanatumka tu!
mazishi yatafanyika tengeru kwa mzee mtei.Leo nimekumbuka kauli ya Jk kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya msimu.
Wale tuliokuwa tunategemea ukombozi kupitia CHADEMA tujue "imekula kwetu".
Tumesema na kuonya kuhusu viongozi kulumbana hadharani lakini ni wazi hakuna lililofanyika.
Viongozi wa chama wanaona ila kwa maslahi yao wamekaa kimya!
Alafu hii fukuza fukuza mbona imeshika kasi sana na hutokea pale mwenyekiti wa chama anapokuwepo??!!
Ina maana viongozi hawaoni hatari iliyo mbele kwa chama chetu?
Kama wanaona mbona hawachukui hatua na kwa kuwa hawachukui hatua ni kwa faifa ya nani??!!
Hivi kweli tatizo ni posho tu au kuna agenda ya siri??!!
Joshua Nassari nae kajiunga kwenye hii issuen ili kuleta picha gani na kwa faida ya nani?
Hakika nawaambia CHADEMA imeshakufa "kiroho" ila "kimwili" tuko nayo hivyo tusubiri mazishi siku si nyingi.
Nawatuhumu hawa kwa kuua chama nao ni
1.Mbowe
2.Dr.Slaa
3.Zitto.
Hao wengine wanatumka tu!
Ni kweli kabisa, unajua Mbowe, Slaa ni CCM damudamu?? Acha tu
Dr.Slaa na Mbowe ni watu imara sana huwezi ukaleta ujinga wako CDM halafuu ukaendelea kuwasanifu, na huu ndio uimara wa CDM, ndio maana CCM wanataka kumpandikza ZITTO. Anavuta mshiko CCM anakuja kula sahani moja na CDM ANADHANI WENZAKE HAWAJUI, kumbe wanamchora tuu. Za mwizi arobaini.
Dr.Slaa na Mbowe endeleeni kuwa imara, nyie ndio mnauchungu na CDM. Kama CCM wanataka kuwapandikizia Jitu na mnaona kwa macho yenu badili katiba haraka sana ili kudhibiti mamluki kama Zitto.
CDM mtu akileta ujinga fukuza tuu, hii ni sawa kabisa CCM ndio wanalindana, ukiwa muuza unga poa tu, ukiwa fisadi poa tu, ukiwa mnafiki poa tu, ukiwa mamluki poa tu, ukiwa ndumilakuwili poa tu. lakini CDM hawawezi kuvumilia upuuzi huo waache wafukuze sana tuu, ndio watatia adabu wote wanaoenda CDM kwa mzaha.
Bangi 2pu!!!!... Akiguswa Zitto Ma-CCM ooh CDM inakufa!!! Unafiki M2pu!