Mwigulu Nchemba awapinga kwa hoja nzito wale wanaotaka mtu akiwa mwanachama wa CCM hapaswi kuwa mkurugenzi

Shigganza

Senior Member
May 24, 2018
160
412
IMG_1775.jpg
IMG_1776.jpg
 
NI MATAKWA YA KATIBA, kwamba mwigulu halijui hilo?? kweli CCM akili unakabidhi mlangoni kisha baada ya hapo ni mwendo wa fikra za mwenyekiti.
wakati JPM anawazawadia wale makada wasio na uzoefu wowote kwenye utumishi wa umma nafasi za ukurugenzi si mlikua mnakenua? sasa endeleeni kukenua.
 
CCM ina hazina kubwa ya vijana wenye mawazo ya kujenga. Tuko hatua za mwishoni ya kuunda kamati ya wazee wa CCM watakaosaidia kuwaongezea maarifa, hekima na busara. Kwa kuanzia na Mzee Msekwa, Mangula, Mkapa,Kikwete, Mizengo, Getrude Mongella, Anna Makinda....................
 
Akafute ule uchafu wake alioandika Tz nzima kwenye vibanda, mawe, madaraja n.k " Mwigulu rais 2015".
 
Sijawahi kusikia hoja za kipumbavu kama hizo. Yaani Mwigulu anatia aibu kwa kweli.
 
Yeye alitangazwa mshindi na ma DED hawa walioshindwa kura za maoni?
 
Siamini kama ni Mwigulu huyu huyu ndo kafikiri na kuandika kipuuzi namna hii, Anyway sasa yeye anaumia nini kwa hawa maDED wasipokuwa wasimamizi wa Uchanguzi!? Nilimheshimu sana huyu jamaa, daaaah
 
NI MATAKWA YA KATIBA, kwamba mwigulu halijui hilo?? kweli CCM akili unakabidhi mlangoni kisha baada ya hapo ni mwendo wa fikra za mwenyekiti.
wakati JPM anawazawadia wale makada wasio na uzoefu wowote kwenye utumishi wa umma nafasi za ukurugenzi si mlikua mnakenua? sasa endeleeni kukenua.
Ukishakuwa mwanachama Wa ccm ni kigezo tosha cha kujua reasoning capacity.
Ask yourself kwann mh. Alipopata ajali watu wengi waliiombea punda ipone ila sio ...
 
Kama huyu ndiye msomi daraja la kwanza?... na kma huju alitaka kuwa Rais wa hili Taifa!..Basi hili taifa lina watu wa hovyo sana.

Huju majaa amewai kufanya kazi BOT, amewai kuwa Waziri, amewai kuwa naibu katibu bara kwenye chama chake..... Mafanikiyo yote haya alipata kwa akili hizi?.... Je kwa mafanikio yake yote hayo bado anaitaji kujipendekeza kwa maneno ya khanga, ngonjera na unafiki? Utu uko wapi kwa huyu kijana, mbona ana jidhalilisha hivi.
 
Back
Top Bottom