Sijui ni aina gani ya upofu ambao ccm imeupata mpaka kushabikia alichokifanya Mwigulu.. wangefumbuliwa macho waone wapiga kura wao wamechukuliaje hilo na wataamua nini wakati utakapowadia hakika kitawagharimu, wamesahau kuwa wanaowaongoza wanatafakari tofauti na wao wanavyotafakari.. hakika ukombozi wa nchi yetu uko ukingoni..Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), juzi alituzwa Sh210,000 na wabunge na mawaziri wa CCM baada ya kumwaga matusi na kuiponda bajeti ya upinzani na kuiita ni ya kipuuzi na haitekelezeki, wapinzani wamejaa uigizaji na kumrushia kombora Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwa anawahadaa Watanzania kwa kukataa gari kuukuu, na baada ya ya kupewa jipya alikubali kimya kimya.
Nchemba akizungumza na waandishi nje ya bunge, alisema jumla ya fedha alizopewa na wabunge na mawaziri kadhaa zilifikia Sh210,000.Aliwashukuru wabunge wote wa CCM kwa kuona mchango mzuri aliotoa bungeni kwa maendeleo ya Taifa
Source:Mwananchi
Wasanii wanapokuwa kwenye maigizo na wanapofaulu kuigiza huwa wanatuzana.....hawakuwa na jipya bali kututhibitishia usanii wao....
ana digrii ya uchumi first anaitumia wapi? hayo matusi anyomwaga alisomea katika course gani? mi nafikiri ana first class ya digrii ya matusi na umbea.Pia alisema ana Degree ya uchumi first class, hivyo anaujua sana uchumi. Pengine ndiyo maana hata kule Igunga alijitahidi asifumaniwe
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), juzi alituzwa Sh210,000 na wabunge na mawaziri wa CCM baada ya kumwaga matusi na kuiponda bajeti ya upinzani na kuiita ni ya kipuuzi na haitekelezeki, wapinzani wamejaa uigizaji na kumrushia kombora Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwa anawahadaa Watanzania kwa kukataa gari kuukuu, na baada ya ya kupewa jipya alikubali kimya kimya.
Nchemba akizungumza na waandishi nje ya bunge, alisema jumla ya fedha alizopewa na wabunge na mawaziri kadhaa zilifikia Sh210,000.Aliwashukuru wabunge wote wa CCM kwa kuona mchango mzuri aliotoa bungeni kwa maendeleo ya Taifa
Source:Mwananchi
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), juzi alituzwa Sh210,000 na wabunge na mawaziri wa CCM baada ya kumwaga matusi na kuiponda bajeti ya upinzani na kuiita ni ya kipuuzi na haitekelezeki, wapinzani wamejaa uigizaji na kumrushia kombora Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwa anawahadaa Watanzania kwa kukataa gari kuukuu, na baada ya ya kupewa jipya alikubali kimya kimya.
Nchemba akizungumza na waandishi nje ya bunge, alisema jumla ya fedha alizopewa na wabunge na mawaziri kadhaa zilifikia Sh210,000.Aliwashukuru wabunge wote wa CCM kwa kuona mchango mzuri aliotoa bungeni kwa maendeleo ya Taifa
Source:Mwananchi
Nitashangaa sana kama wapiga kura watamrudisha mwigulu bungeni 2015.
Nitawaona ni kama misukule iliyofungiwa pangoni kwa kulishwa pumba ili hali huyo aliyewafungia anapinga walilishwe mahindi na kuwaacha waendelee kula pumba.