Mwigulu Nchemba apokelewa Kifalme Rulenge-Ngara

Mwigulu Nchemba apokelewa Kifalme Rulenge-Ngara

CHAPA2015

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
57
Reaction score
26
10329081_321249448077290_1422874322958505912_n.jpg

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akisalimiana na Wananchi wa Rulenga hii leo alipofika Kufunga Kampeni.za Uchaguzi wa serikali za.
10351899_321249711410597_7843441763518168997_n.jpg

Mwigulu Nchemba akisisitiza Wananchi kuwasimamia Viongozi watakao wachagua,kufuatilia mienendo yao.
10858507_321249744743927_8651064089922311726_n.jpg

Hakuna kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya Umma na akajisifia kuwa yeye ni Kiongozi Mwema na tajiri,Viongozi wabadhilifu wachukuliwe hatua kali ikiwamo kufilisiwa.
10847824_321249784743923_28928899783359037_n.jpg

Mwigulu Nchemba akiwaelezea Wananchi athari za kushindanisha Vyma kwenye chaguzi bila Kuzingatia Ubora wa Viongozi wanaowasimamisha,Wakati huu wa kuelekea Kipato cha kati tushindanishe Viongozi kwa Maendeleo wanayotuletea na sio Vyama.,
10801482_321249851410583_2879307418505410755_n.jpg
Mkutano ukiendelea Rulenge-Bihalamulo.
10440744_321249901410578_7842653494608577729_n.jpg
1798505_321249961410572_5788413788772480176_n.jpg

Comrade Mwigulu Nchemba akishangiliwa na Wananchi wa Rulenge hii leo baada ya kuwahakikishia kuwa CCM itaendelea kuongoza Taifa hili kutokana na namna inavyosimamia maendeleo ya Wananchi wake.
10645154_321249944743907_8054923976110720929_n.jpg
Mkutano ukiendelea wakati Naibu katibu Mkuu akihutubia.
1798607_321250011410567_1373329709937301640_n.jpg
10402963_321250041410564_7340691836373196783_n.jpg

Mwigulu Nchemba akiagana na wananchi wa Rulenge ambao walifurika kumsikiliza hii leo.Mbali na Mkutano huu,Mwigulu Nchebmba hii leo amezungumza na wakazi wa Ukerewe,Bihalamulo,Ngara mjini na Bukoba.

​
 
Last edited by a moderator:
wameenda wahuni wenzake watakuwa wameletwa na malori hawa wananchi hatuna imani na serikali ya wezi wa pesa za umma ccm rudesheni pesa zetu escrow
 
Waziri wa Fedha anaendelea kumaliza vijisenti vya walipa kodi kwa safari ambazo hazina tija kwa walipa kodi, badala ya kupanga mikakati ya kutafuta pesa ikiwemo kufuatilia mabilioni ya Uswiss. Sasa waziri wa fedha wakati nchi iko ndani ya ukata wa kutisha kusafiri kila kukicha ndiyo kitu gani hii jamani!? Anafuata nyayo za VDG? Anataka kuja kuivunja rekodo tya kusafiri nchi za nje iliyowekwa na fastjet? Safari za kipuuzi kama hizi kamwe zisingefanywa na Mawaziri mbali mbali waliowahi kushika Wizara ya Fedha miaka ya nyuma. Gaidi Mwigulu ni janga kubwa la Taifa.
 
Pole sana naona Msumari umekuchoma kunako
 
wameenda wahuni wenzake watakuwa wameletwa na malori hawa wananchi hatuna imani na serikali ya wezi wa pesa za umma ccm rudesheni pesa zetu escrow
Mwigulu ni habari nyingine,Ndiye next TP
 
Hujitambui kabisa wewe!!! Eti nawe ni Waziri wa Fedha!!!!! Ptuuuuu....Nchi hii kwa vichekesho!!!! Hebu tuambie unaogopa nini kuyafuatilia mabilioni ya Uswiss yarudishwe nchini ili kupunguza UKATA mkubwa unaolikabili Taifa? Au wameshakutisha na kukuonya usithubutu kuyafuatilia mabilioni ya Uswiss? Funguka badala ya kujaribu kwa kila hali kuikimbia hii issue yenye uzito mkubwa kwa Watanzania.

Pole sana naona Msumari umekuchoma kunako
 
Sura ya gaidi baada ya ushahidi wake utaokubalika mpaka mbinguni kukataliwa na mahakama. Hivi majina ya wafanyakazi hewa waliokuwa wanapokea bilioni 40 kwa mwezi lini utayaweka hadharani!? Mtu muongo sana wewe!!! Ukakokotoa namba toka kichwani mwako halafu hakuna ushahidi wowote wa kuthibisha kauli yako. Watu waongo kama wewe wanaojifagilia ili kupata madaraka hawana budi kutandikwa risasi. Ungekuwa China wangekutolea uvivu zamani sana.

sURA YA MWANAUME HIYO,Sio yakwako kama dada yangu
 
nimeona watoto nikadhani pana ubatizo na mhusika ni mbatizaji .kesho wataruhusiwa ku vote?
 
hakuna sehemu masikini hapa tanzania kama rulenge kule hadi radio wanasikiliza ya burundi,chumvi kanga sukari na mahitaji yote yanatoka burundi,washubi ni kabila dogo na masikini zaidi kwa tanzania kuna sekondari mbili tu rama inamilikiwa na kanisa katoliki na nyingine sijui inaitwaje yaani kwanza wale nadhani wakoloni walikosea kugawa mipaka hata kiswahili hawajui,ila kuna vibinti vizuri vyenye asili ya kitutsi ndio vinafanya paonekana angalau so sishangai kuona hao watu wengine tang wazaliwa hawajawahi kuona hekcopter wala ndege live
 
Mtu mbaya sana huyu alitaka kumuharibia Lwakatare maisha yake na familia yake hivi hivi ili tu apate madaraka. Pia alikuwa akipita huku na kule na yule mtu aliyemwagiwa Tindikali na wanachama wa chama chao cha wahuni bila kujali jinsi anavyopandikiza mbegu ya chuki na uadui mkubwa miongoni mwa Watanzania.

hata sura inaonyesha alivyokuwa na roho mbaya kama ya paka gaidi mkubwa huyu.
 
Sura ya gaidi baada ya ushahidi wake utaokubalika mpaka mbinguni kukataliwa na mahakama. Hivi majina ya wafanyakazi hewa waliokuwa wanapokea bilioni 40 kwa mwezi lini utayaweka hadharani!? Mtu muongo sana wewe!!! Ukakokotoa namba toka kichwani mwako halafu hakuna ushahidi wowote wa kuthibisha kauli yako. Watu waongo kama wewe wanaojifagilia ili kupata madaraka hawana budi kutandikwa risasi. Ungekuwa China wangekutolea uvivu zamani sana.

Matatizo na mume...o nendeni mkayamalize nyumbani kwenu
 
Back
Top Bottom