Mwigulu Nchemba and the family

Mwigulu Nchemba and the family

Mwanaume wa kishoka utajua ukimkuta na familia yake TUACHENI USHABIKI HUYU JAMAA NI JEMBE HONGERA WANACCM JEMBE MNALO.
Mtu yuko nyumbani kwake na mkewe unasema ni jembe! Picha ingekuwa ni kwenye mkutano au kazi ya chama ungekuwa na haki ya kumwita jamba sijui jembe! Ushabiki wako hauongozwi na akili ila na kiwewe cha 4-0
 
Naz...kuna jamaa mmoja alivyoiona hii picha alinichekesha sana maana aliuliza hivi, "Eti huyo jamaa mwenye nguo ya kijani atajifungua lini, maana naona ujauzito wake ushakuwa mkubwa"

braza umenichekesha kweli....teh teh teh
 
mbona mke wake anaonekana mstaarabu??? she seems sh dozn't knw even how tindikali lookslyk..so wats wrong with ths madevu???
Sasa mkewe sini wife material unamuona kabisa hapo! Mke anayempa mtu furaha anaonekana tu
 
Back
Top Bottom