Mwigulu Nchemba anaongea ndani ya Dakika 45 ITV

Mwigulu Nchemba anaongea ndani ya Dakika 45 ITV

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1425921207.980774.jpg
Tufuatilie kwa pamoja tusikie tuone kama Mwigulu atakuwa na jipya kwenye mahojiano haya saa 3:30 usiku leo.
 
Itv kila siku mwigulu, sijui kawapa nin..je hakuna watu wengine?
 
Hivi huyu jamaa kwanini anapenda Sana kuvaa skafu na bracelate yenye nembo ya taifa.
 
Huko Tanzania nasikia hadi Bwana Lameck Madelu (Mnaemwita Mwigulu Nchemba) nae anautaka urais.....

Tuna safari ndefu.
 
Swali la kwanza JOKA LA MAKENGEZA limehalipa kodi? na prof wa pesa za mboga je? Sina shida ya kumwangalia huyu.Mbona Kamanda Mbowe licha ya kuwa na wadhifa mkubwa humleti kwenye 45 minutes?
 
anayoyaongea kwa kweli ni mazuri labda iwe changa la macho tu ili kuwavuta watu tuwaonee huruma.....
 
Jamaa makini sana hata wanaompinga wanamkubali kimoyo moyo
 
Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba katika kipindi cha Dk.45 ITV,anayo majibu kuhusu kwanini nchi ni maskini kulinganisha na January Makamba katika kitabu chake kilichozungumzwa sana cha Maswali 40.January amepiga tu blah blah za kisiasa lakini Mwigulu speaks substance.

Kwa mfano anashangaa kwamba mashirika ya umma yanayopaswa kuchangia zaidi ya asilimia 50 ya budget,mabosi wa mashirika hayo wameyageuza kuwa mali zao binafsi na wanajipigia tu hela,pia anashangaa kuwa mtu mwenye ng'ombe 10,000 halipi kodi.Naona anazungumza vitu halisia kuliko hata Mkuu wa Kaya mwenyewe aliyewahi kusema haelewi kwanini nchi hii ni maskini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom