Mwigulu Nchemba, amwombe radhi Dr. Slaa

Mwigulu Nchemba, amwombe radhi Dr. Slaa

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,982
Nimekuwa nikifuatilia kauli za Waziri Nchemba hasa kuhusu Ufisadi wa MISHAHARA HEWA na hili la sasa la ESCROW. Lakini pia nikakumbuka kauli yake juu ya matumizi ya fedha za wananchi wakati wa vikao vya Bunge la Katiba.

Hakika Mwigulu anaonesha kukubarika hasa baada ya kuingia Serikalini na labda kujua na kujionea madudu yanayofanyika humo.

HONGERA MWIGULU.

Lakini naomba nimkumbushe kuwa aliwahi kutangaza uadui mkubwa na Dr. Slaa na kumfananisha na shetani, kwakuwa tu Dr. Slaa alikuwa anatoa matamshi ya waziwazi ya kukosoa uozo ndani ya serikali hii ya CCM.

Yale yale ya Dr. Slaa ndio Mwigulu anayashuhudia na kukerwa nayo sasa!

Je? Si wakati muafaka Mheshimiwa Mwigulu Amwombe radhi Dr slaa kwa kumfananisha na Shetani?
 
Kiroho Safi! (MODS TAFADHALI MSIUNGANISHE POPOTE UZI HUU)

Nimekua nikifuatilia kauli za Waziri Nchemba hasa kuhusu Ufisadi wa MISHAHARA HEWA na hili la sasa la ESCROW. Lakini pia nikakumbuka kauli yake juu ya matumizi ya fedha za wananchi wakati wa vikao vya Bunge la Katiba.

Hakika Mwigulu anaonesha kubalika hasa baada ya kuingia Serikalini na labda kujua na kujionea madudu yanayofanyika humo.
HONGERA MWIGULU.

Lakini naomba nimkumbushe kuwa aliwahi kutangaza uadui mkubwa na Dr Slaa na kumfananisha na shetani, kwa kua tu Dr Slaa alikua anatoa matamshi ya waziwazi ya kukosoa uozo ndani ya serikali hii ya CCM.

Yale yale ya Dr Slaa ndio Mwigulu anayashuhudia na kukerwa nayo sasa!

Je? Si wakati muafaka Mheshimiwa Mwigulu Amwombe radhi Dr slaa kwa kumfananisha na Shetani?

Ushetani aliousema mwigulu ni ule wa Mtu mwenye hadhi ya Upadri kama slaa kuendelea kuzaa tuu na wanawake bila kuwaoa kauli ile wala haihusiani na Siasa. hayo ya siasa unayaleta wewe!
 
Huyu Dr Slaa vipi tena? Kumbe hata wewe kakuzalisha bila kukuoa? Sasa dada kalagabaho umeona madhara ya kutosikiliza matangazo ya uzazi wa mpango wewe muda wote ni kusikiliza taarabu? Siku hizi kuna kondomu za kike na wanazitangaza kila siku zingekusaidia usizae bila kuolewa kama ungezitumia.
Kama hutumii kodomu shauri yako dada maana utazaa watoto 20 na bado hutaolewa,we endelea na taarabu tuu.
 
Last edited by a moderator:

kama kawaida majuha ya ccm huwa hamuwezi kujadili hoja kwa hoja ,nyie ni majungu mda wote na kukwepesha ukweli, kweli ccm ni kichaka cha vibaka.
 
Ushetani aliousema mwigulu ni ule wa Mtu mwenye hadhi ya Upadri kama slaa kuendelea kuzaa tuu na wanawake bila kuwaoa kauli ile wala haihusiani na Siasa. hayo ya siasa unayaleta wewe!

Du! Kama huo ni ushetani basi wewe ni mwana wa shetani!
 
Huyu Dr Slaa vipi tena? Kumbe hata wewe kakuzalisha bila kukuoa? Sasa dada kalagabaho umeona madhara ya kutosikiliza matangazo ya uzazi wa mpango wewe muda wote ni kusikiliza taarabu? Siku hizi kuna kondomu za kike na wanazitangaza kila siku zingekusaidia usizae bila kuolewa kama ungezitumia.
Kama hutumii kodomu shauri yako dada maana utazaa watoto 20 na bado hutaolewa,we endelea na taarabu tuu.

Usipanik Josephine, Mtafute mwenzio Rose camil mumtulize Padri Kicheche!
 
Ati sasa hivi anajifanya ana uchungu sana na wa Tz masikini nyammmbaf. Chui ni chui tu hata avae ngozi ya kondoo.
 
Ushetani aliousema mwigulu ni ule wa Mtu mwenye hadhi ya Upadri kama slaa kuendelea kuzaa tuu na wanawake bila kuwaoa kauli ile wala haihusiani na Siasa. hayo ya siasa unayaleta wewe!

Maana ya kuoa unaifahamu wewe? Kuoa kwa sheria ya dini ya kiislamu, sheria ya kikristu na sheria ya jamuhuri ya muungano wa tanzania au ndoa ya kimila? Ulitaka uitwe kwenye makubaliano ya ndoa yao? au kwa kuwa hujaona ukumbi umepambwa wanalisha na kunywesha watu, au kwa kuwa hukupewa kadi ya mchango? Achana na ushabiki maandazi hao ni watu wazima na wamekubaliana kwa ndoa waijuao wao, vipi angefanya aliyoyafanya Juma kapuya? Maana hata wa zee wa zamani hawakuwa na dini lakini walikuwa na ndo, na Slaa alisha acha upadri hajaishi na josephine kwenye makazi ya kanisa, soon utaanza kujitambua kama mwigulu.
 
Acha kuweweseka kwa mambo yasiyokuhusu... yule padri kazaa bila ndoa, kaacha na kuchukua mke wa mtu na kumzalisha hata wewe atakuzalisha ukimsogelea karibu yule babu wa miaka 72 ni kicheche
 
Wa tanzania jueni angalieni fikirieni na oneni njama za Ccm kuanzia cku Za nyuma uyu mshenzi nataka uraisi sasa jichanganyeni kwa mwaigulu mtayakuta kama ya Kikwete !!!!!!!
 
Usipanik Josephine, Mtafute mwenzio Rose camil mumtulize Padri Kicheche!

Mie naitwa Chakaza mkuu vipi tena? Umechanganya mambo kwa kunitajia wake wenzio. Acha wivu wewe! Hao uliowataja wenyewe hawana gogoro ila wewe kalagabaho. Au nimekosea nyie ndio wale wakina aunt ? Ungeniambia mapema nikutambue kama Aunt kalagabaho
 
Last edited by a moderator:
Ushetani aliousema mwigulu ni ule wa Mtu mwenye hadhi ya Upadri kama slaa kuendelea kuzaa tuu na wanawake bila kuwaoa kauli ile wala haihusiani na Siasa. hayo ya siasa unayaleta wewe!
Mbona una hasira sana na Dr Slaa we dada? Aliisha kuzalisha na kisha akakutelekeza nini? Hebu funguka mwenzetu maana hasira hizi sio za bure!
 
Ushetani aliousema mwigulu ni ule wa Mtu mwenye hadhi ya Upadri kama slaa kuendelea kuzaa tuu na wanawake bila kuwaoa kauli ile wala haihusiani na Siasa. hayo ya siasa unayaleta wewe!

Tofautisha personal issues na political issues. Akili zako ndogo kama pua yako...makamasi matupu!
 
Nimekuwa nikifuatilia kauli za Waziri Nchemba hasa kuhusu Ufisadi wa MISHAHARA HEWA na hili la sasa la ESCROW. Lakini pia nikakumbuka kauli yake juu ya matumizi ya fedha za wananchi wakati wa vikao vya Bunge la Katiba.

Hakika Mwigulu anaonesha kukubarika hasa baada ya kuingia Serikalini na labda kujua na kujionea madudu yanayofanyika humo.

HONGERA MWIGULU.

Lakini naomba nimkumbushe kuwa aliwahi kutangaza uadui mkubwa na Dr. Slaa na kumfananisha na shetani, kwakuwa tu Dr. Slaa alikuwa anatoa matamshi ya waziwazi ya kukosoa uozo ndani ya serikali hii ya CCM.

Yale yale ya Dr. Slaa ndio Mwigulu anayashuhudia na kukerwa nayo sasa!

Je? Si wakati muafaka Mheshimiwa Mwigulu Amwombe radhi Dr slaa kwa kumfananisha na Shetani?
Gamba ni gamba tu, never trust him. Kosa hilo walilifanya wale waliompigia kura Mpaka wakimwita mr. clean kumbe ndie kauza nchi na migodi mingine kajiuzia. Zama zake zilipokwisha wakafanya kosa tena kwa kumchagua profesa Baba Ritz wakidhani ni suluhisho lakini wote tunajionea kinachoendelea. Msiwaamini hawa CCM kwa lolote lile kwani nia zao ni ovu tu na wote ni damu na roho moja. Hakuna alilofanya mwigulu la kumwamini sasa kwani anatafuta nafasi ya 'urahisi' tu.
 
Back
Top Bottom