Mwigulu Nchemba, amwombe radhi Dr. Slaa

Mwigulu Nchemba, amwombe radhi Dr. Slaa

Ngoja tuone hiyo tar 31 Dec kama mafisadi wa escrow watapeleka kodi TRA.
 
10731193_10152906990397938_3969227425189682687_n.jpg
 
Ushetani aliousema mwigulu ni ule wa Mtu mwenye hadhi ya Upadri kama slaa kuendelea kuzaa tuu na wanawake bila kuwaoa kauli ile wala haihusiani na Siasa. hayo ya siasa unayaleta wewe!

Madhara ya kuwa na akili isiyokuwa na akili!!!!!!bs
 
Kwani ni kosa kumfananisha Dr Slaa na shetani?
 
Acha kuweweseka kwa mambo yasiyokuhusu... yule padri kazaa bila ndoa, kaacha na kuchukua mke wa mtu na kumzalisha hata wewe atakuzalisha ukimsogelea karibu yule babu wa miaka 72 ni kicheche

Hivi yule mtoto uliyezaa na profesa wa kichina anaendeleaje. Profesa anakukumbuka kweli?
 
Back
Top Bottom