Mwiguluuuu, nyie zaidi ya msaada wa polisi na tume kupitia wakurugenzi nyie hamna kitu ni wepesi kuliko kilo moja ya manyoya ya kuku wa kisasa, watu wanahitajika maisha Bora ambayo hayaletwi na izo mbembwe zenu, CCM imekuwa adui na watumishi wa serikali 90%, wafanya biashara ndo wapo taabani,wakulima ndo hao wakorosho, izo Kura zenu Nani anawapa? Ukweli mwiguluuuu anaujua uchaguzi huru na was haki ccm kabla ya misa ya Kwanza kwisha watakuwa wamepoteza nusu ya nafasi za ubunge na udiwani nchi hii.