Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kwa anavyoongea, hii ni ziara ya kichama na ndege ni ya serikali..
Thehague inawita hao magamba.
Kwa anavyoongea, hii ni ziara ya kichama na ndege ni ya serikali..
Huyu ni mwizi tu
Hazina na taasisi zote za fedha ziko chini yake, ,,,escrow, ,,,,ruzuku pia hapo lakairo hajamwaga pesaHuyu ni waziri hatujui hiyo ziara yake kama ni kikazi, kichama, au ni mambo yake binafsi ya kusaka uraisi.
Yotekwa yote atueleza amepatawapi hela, kwasababu hatujawahi kuona nyerere,sokoine wala mrema wakifanya ziara kwa helcopta iwe ya kichama,kikazi au binafsi.
Hizo ela za lowassa hivi amjui kuwa huyu ni mpambe wa lowassa?
...,hapo lakairo hajamwaga pesa
Kabla ya kutoa maoni ibabidi mtu ujue mambo yafuatayo (1) bei ya kukodi chopa(2)huyo aliekodi hyo chopa ana uwezo wa hyo hela ya kukodi (3)amekodi kwa hela zake(4)amekodiwa(5) huyo aliemkodia ni nani?mtu,watu,kikundi au taasisi(6)huyo au hao waliomkodia hyo chopa wanao uwezo wa hyo fedha(7)kodi imelipwa cash,mkopo au wamepewa offer;baada ya kupata majibu ya maswali hayo unaweza ukaongea kitu cha maana