Mwigulu Nchemba amelala wakati jambo nyeti linaendele (kamati ya kumchunguza Jairo on stage)

Mpinge msipinge ni kwamba Jembe lenu lilikua limesinzia mjengoni! Full stop
 
Si ni usukumani? Huyu ni wa Iramba na pia sio Ng'wigulu kwenye akili usipime hilo jamaa ni bright sana huyo amesomea ilboru shule ya vipaji maalum na ana first class chuo kikuu. BA na MA uchumi ndiO maana akasomeshwa na benki kuu. Jamaa najua mmelchukia saana ila lina akili sana

kufaulu sio kipimo kama alkuwa bingwa wa kumeza
 
Kama kalala wekeni picha tuone mbona labda una agenda ya siri mimi nimefuatilia nimwona ana chart. Ila degedege hata kama alikuwa anameza tangu shule ya msingi na akaenda shule ya vipaji maalum na akaendelea kumeza mpaka kupata first class ya BA na MA ya uchumi bado ni mkali wewe ulishindwa nini kumeza? Ulipata ngapi? The man is smart na haiwezi kuondolewa kwa kuchukiwa na watu.
 
Magwanda waongo kweli kwa umakini wenu mngeshindwa kumpiga picha kwa mnavyo muogopa, hizo ni siasa mna tafuta msela si aliwatesa sana Igunga bado mnaumia. mbona wabunge kibao wanaenda klabu hadi wa magwanda tena huwa wanaingia na kutoka, mwacheni Mwigulu ni jeuri ya mabaunsa wavaa magwanda waliotoka MWANZA.
 
Hilo sio jambo la kushangaza kwa wabunge wa ccm kwani tushawazoea kwa kufanya bunge kitanda au gest
 
Mch wa watu umenena, dogo amewafanyia mbaya sana, kote akifanya mikutano wananchi huwa wanamwitikia sana. Ukerewe walibaki midomo wazi hilo jembe la uhakika mwigulu the giant. Alimfunika slaa na mbowe igunga wakaonekana cha mtoto
 
Msitake kudanganya watu Mwigulu amelala wala si kwa muda mfupi ni mrefu tu na hii ni tabia ya kin-Lusinde(wabunge) wa CCM
 
Kwanini ni Mwigulu na Lusinde? Hawa ndio waliwapiga igunga na ndani ya bunge. Wekeni picha basi. Hawa jamaa wakipangwa pamoja ni Messi na Xavi
 
Ng'wanangwa umenishtua sana una hoja ya kitoto kweli kweli hivi jina linaweza kumwongezea mtu akili, umetoa argument inayokuoneha kuchoka kweli kiakili kuliko teja. Sikufahamu ila ninavyomfahamu Mwigulu sio wakulinganishwa nawe kwa IQ,kisiasa na kujieleza. Mwigulu ni miongoni mwa vijana ambao taifa linawategemea
Anategemewa na ccm na wale anaowamegea wake zao, kisha kuwahonga ili kuwaziba midomo.
 
Nilimwona hajala ila alikuwa anachaart kwa I PAD, nikwamba hairuhusiwi kusoma mail
Hawezi kulala unajua David Jairo ni wa katani kwake kule Iramba Magharibi. Nadhani ndio maana hata hajachangia nadhani
Si ni usukumani? Huyu ni wa Iramba na pia sio Ng'wigulu kwenye akili usipime hilo jamaa ni bright sana huyo amesomea ilboru shule ya vipaji maalum na ana first class chuo kikuu. BA na MA uchumi ndiO maana akasomeshwa na benki kuu. Jamaa najua mmelchukia saana ila lina akili sana

Kama kalala wekeni picha tuone mbona labda una agenda ya siri mimi nimefuatilia nimwona ana chart. Ila degedege hata kama alikuwa anameza tangu shule ya msingi na akaenda shule ya vipaji maalum na akaendelea kumeza mpaka kupata first class ya BA na MA ya uchumi bado ni mkali wewe ulishindwa nini kumeza? Ulipata ngapi? The man is smart na haiwezi kuondolewa kwa kuchukiwa na watu.
Mch wa watu umenena, dogo amewafanyia mbaya sana, kote akifanya mikutano wananchi huwa wanamwitikia sana. Ukerewe walibaki midomo wazi hilo jembe la uhakika mwigulu the giant. Alimfunika slaa na mbowe igunga wakaonekana cha mtoto
Magwanda kwa uzushi mnashikilia hata uzushi wekeni picha tuone

Mkuu umemtetea sana Mwigulu, au wewe ndiye yule mke wa ustaadh?
 
OOH Mwigulu Lameck ni mkali kwa vyote kwa elimu na vibinti. Nakumbuka 2004/2005 hapo UDSM alikuwa anashindana na bwana mmoja kwa binti mmoja lakini alishindwa kwani binti alionesha misimamo mikali, hivyo si mtu rafiki ukiwa na wife wako mbele yake.
 
Wasira naye vp? hajalala kweli leo? naimani magazeti kama mwananchi kesho yatatuonyesha watu ambao hawafai kula kodi zetu.
 
Mch wa watu umenena, dogo amewafanyia mbaya sana, kote akifanya mikutano wananchi huwa wanamwitikia sana. Ukerewe walibaki midomo wazi hilo jembe la uhakika mwigulu the giant. Alimfunika slaa na mbowe igunga wakaonekana cha mtoto

Mkubwa Mopaomokonzi pamoja sana hawa magwanda story zao ndio hizo hizo, na safari hii atawanyosha sana.
 
Mi nadhani, hili tatizo la wabunge wetu kuuchapa usingizi mjengoni, linazidi kukua siku hadi siku,tusipoangalia inawezekana siku moja,tukamshuhudia Spika wa Bunge naye akiwaunga mkono hawa "wazee wa kutafakari" kwa kuuchapa usingizi. Sijui nani ataendesha mjadala sasa? Nadhani hapo ndipo tutaamka na kutafuta dawa ya kuondoa usingizi kwa vingunge hawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom