Mwigulu Nchemba akiwa ziarani Singida

Mwigulu Nchemba akiwa ziarani Singida

acer

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
1,595
Reaction score
142
Katika ziara hiyo pamoja na kuzungumzia masuala mbalimbali ya kitaifa kama uchumi na mwenendo wa bunge la katiba
Lakini wananchi hao walitoa rai kwa kusema urais ni taswira ya Taifa na unabeba dhamana nzito. Ni lazima basi tumtathimini mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wetu kwa jicho kali na macho mapana katika kila hali aliyo nayo: maneno yake, matendo yake, haiba yake, akili yake, afya yake, n.k.

Na kwa maana hiyo wao wanamwomba mh Mwigulu Nchemba awe rais wa Tanzania 2015 na akubali heshima kwa kuwa wako nyuma yake
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1409773317.264907.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1409773317.264907.jpg
    105.1 KB · Views: 1,253
  • ImageUploadedByJamiiForums1409773452.777524.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1409773452.777524.jpg
    94.9 KB · Views: 1,227
  • ImageUploadedByJamiiForums1409773480.920087.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1409773480.920087.jpg
    84.8 KB · Views: 441
Huyu naye wenzake wanatunga katiba yeye anafanya nini singida.
 
Kati ya wale 25 walioandikiwa Barua za kujieleza kwa nini hawako Dodoma yeye hayumo kwani.........
 
Yaani unakwenda kwenu unadai ni ziara...nyambafu kabisa
 
mbona wachangiaji ni walewale? mwigulu naona unajipigia upatu.
 
Back
Top Bottom