mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 799
hahahahaha hata huyu...kwa lipi alilolifanyia taifa letu....aisee kama ndio hivyo hata mimi natangaza nia
Mbona serikali kupitia Mwigulu Nchemba ameshughulikia matatizo yao ya madeni naona sasa wamekuja na vyeo usijali jamaa yupo kwa ajili ya wananchi na anatuangalia kero kwa wakati.