pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
hapo anachagua wa ku-du nae!
Yupo kwa ajili ya wananchi huyuView attachment 182585View attachment 182586
View attachment 182570View attachment 182571View attachment 182573View attachment 182574View attachment 182575View attachment 182576View attachment 182578View attachment 182579
Katika ziara hiyo pamoja na kuzungumzia masuala mbalimbali ya kitaifa kama uchumi na mwenendo wa bunge la katiba
Lakini wananchi hao walitoa rai kwa kusema urais ni taswira ya Taifa na unabeba dhamana nzito. Ni lazima basi tumtathimini mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wetu kwa jicho kali na macho mapana katika kila hali aliyo nayo: maneno yake, matendo yake, haiba yake, akili yake, afya yake, n.k.
Na kwa maana hiyo wao wanamwomba mh Mwigulu Nchemba awe rais wa Tanzania 2015 na akubali heshima kwa kuwa wako nyuma yake
Safi Mwigulu ww ni mtetezi wa wanyonge
Yakiwemo haya! Ya wafanyakazi waliowengi! na yanayohusu ghiliba, ukatili na manyanyaso ya wizara ya fedha kwa waalimu!Tujenge utamaduni wa kuheshimu mawazo ya wananchi walio wengi
kikwete ameufanya urais uwe kitu kidogo sana, hata mwigulu? duhh
Yakiwemo haya! Ya wafanyakazi waliowengi! na yanayohusu ghiliba, ukatili na manyanyaso ya wizara ya fedha kwa waalimu!
BARAZA la Taifa la Chama cha
Walimu Tanzania (CWT), limetoa
siku 14 kwa wakurugenzi wa
halmshauri nchini kuwapa barua za
kuwapandisha vyeo walimu
wanaostahili la sivyo watafanya
maandamano nchi nzima.
Akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam jana, Rais
wa CWT, Gratian Mukoba, alisema
maazimio ya baraza hilo yalifikiwa
tarehe 28 mwezi uliyopita mkoani
Morogoro.
Mukoba, alisema ifikapo Septemba
15 mwaka huu kama wakurugenzi
watakuwa hawajawapatia walimu
wanaostahili barua za kuwapandisha
vyeo, basi watarajie maandamano ya
walimu kwenye ofisi zao.
Baraza limetoa siku 14 kuanzia
siku ya kikao na ifikapo siku ya
tarehe 15 kama walimu wanaostahili
kupandishwa vyeo watakuwa
hawajapewa barua zao, kutafanyika
maandano ya nchi nzima kuelekea
kwa wakurugenzi wa halmashauri
kudai barua hizo, hatupendi hali hii
itokee lakini hatufurahishwi na hali
ya kutojali haki zetu, alisema
Mukoba.
Aidha, Mukoba alisema Baraza
limekemea tabia ya serikali ya
kuwanyanganya walimu madaraja
ambayo tayari wamekwishayapokea
kwa kisingizio cha kutokuwapo
fedha za kulipa.
Alisema hata nyongeza ya
mishahara iliyotolewa Julai mwaka
huu imepingwa na walimu nchi
nzima, kwani mbali ya kuwa ndogo
sana imetolewa kwa upendeleo na
walimu wanataka kujua ni kwanini
watumishi wengine waongezwe
kwa asilimia kumi na walimu
asilimia 6.35.
Kwa mbaaaali naona nyumba za tembe full suti juu hadi chini!!!! Tunamatumani na mwigulu aaaaaah aaaah. Kwa maisha mgumu na umasikini uliopindukia, mlo mmoja, ukosefu wa maji, shule zilivyochoka huku wanafunzi wakiwa peku au yebo iliyofungwa na wire nk. haiwezekani kuwa na matumaini hawa ni watu wamekata tamaa. Huwezi ukajisifia mtetezi wa wanyonge kwa kutumia umasikini wao na ulalahoi wao kunufaika kisiasa kwa kuwagawia tshirt na kanga ili waje kwenye mikutano yako. Mwambieni mwigulu aende Arusha au kilimanjaro akawadanganye. Masikini wanasingida mtafia kwenye huo umasikini jifunzeni kwa walioendelea.!!!!
Huyu naye wenzake wanatunga katiba yeye anafanya nini singida.
Huyu naye wenzake wanatunga katiba yeye anafanya nini singida.
Mmmmh hebu pitia website ya BoT upate takwimu za uchumi zilivyokuwa kwa miezi3 iliyopita pitia pia upate kufahamu kwa kiasi gani makusanyo ya kodi yameongezeka kwa % kisha utajua kwanini huyu mh wananchi walio wengi wanataka agombee urais 2015 ili abadilishe mambo mengi