Huyu mtoto wa umri gani jamani?
Kesho na keshokutwa ati wanawekwa kwenye kapu moja la ushindani wa fursa, na jamii inakenua meno. Ati uhuru! Pumbavu.
Alafu hiyo supu inaonyesha ya utumbo![emoji86] [emoji86]Picha kwa mujibu wa Facebook page yake. Ameandika: [HASHTAG]#MALEZI[/HASHTAG] baada ya kazi.
Sasa zilizoniacha hoi kule ni comments za watu, yaani nimecheka sana leo...