Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,076
Hivi ule ushahidi wake Mwigulu kuwa Chadema wanajihusisha na ugaidi, ambao alidai yuko tayari kuutoa hapa duniani na hata mbinguni, hivi ule ushahidi 'uliyeyukia' wapi?kamshindwa mtu mmoja tu lwakatare ndio iwe UKAWA !
Huyo Mwigulu pengine post inayoweza kumfaa ni kuwa timu meneja wa ile timu ya swahiba wake Nape ya kufunga magoli ya mikono bafuni!