Mwigulu,Kampeni Meneja wa Magufuli nimeogopa

Usikwepe kodi

New Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
2
Reaction score
2
Ndg zangu wanaukawa kuna tetesi kuwa Mwigulu ameteuliwa kuwa kampeni meneja wa magufuli,

Trust me nimeogopa,nimeshtuka na kutetemeka,Mwigulu alifanikiwa sana kuizima chadema kwa mipango yake na mbinu tofauti mpaka kupelekea makamu wa bavicha taifa kuhama,vijana machachari wakahama,

Ikumbukwe pia mwigulu ndie mastermind wa mgogoro wa zzk,arfi cdm

Mwigulu ni bingwa wa kubuni strategies za kila namna.trust me huyu akiungana na kitengo sijui pakutokea ni wapi.

My take kwa team yetu ya ukawa tuweke mipango vema na kujizatiti vema

§
§Bwasheeee
 
Hainipi tabu Hata Arusha katika Kara NNE bila yy Ndo alikuwa master campaign
 
Hata Arumeru Mashariki alikuwa kampeni meneja lakini akachezea za uso. Sasa kwa Laigwanaan ataweza wapi?
 
Tetesi nzuri sana, nadhani hataacha kumwajiri pia yule partner wake Lusinde a.k.a Kibajaji. Kwa matusi ya nguoni hawajambo. Mpaka wakamfundisha yule Muhishimiwa sana mstaafu hata akajisahau naye akamtukana Vincent.
Tumeshawaomba saana tu, mwaka huu siasa za matusi hatutaki wala siasa za maji taka hatutaki. Watoe sera tutawaelewa. Oktoba si mbali kihivyo.
 
Kwa UKAWA feki ataweza, lakini kwa UKAWA wananchi, Mwigulu na MaCCM wataisoma namba
 
Wewe ni uvccm..hakuna UKAWA ata mmoja anamuogopa savimbi..kashindwa ubingwa hadi katoa rushwa atayaweza mafuriko ya Laigwanan
 
Ata awe nani ccm lazima iondoke madarakani hiyo ndio Sera yetu
 
Ahahahaaa!! Huyu si ndo ana tabia ya kutoroka chaguzi, alikimbia huko arumeru mashariki, akakimbia huko arusha uchaguzi wa madiwani. Kweli ccm imekwisha maana atatoroka kampeini kabla kura hazijapigwa..... Nimecheka sana kama kweli ccm watamuweka huyu mtoro awe kampeini meneja!!!

ndg zangu wanaukawa kuna tetesi kuwa mwigulu ameteuliwa kuwa kampeni meneja wa magufuli,

trust me nimeogopa,nimeshtuka na kutetemeka,mwigulu alifanikiwa sana kuizima chadema kwa mipango yake na mbinu tofauti mpaka kupelekea makamu wa bavicha taifa kuhama,vijana machachari wakahama,

ikumbukwe pia mwigulu ndie mastermind wa mgogoro wa zzk,arfi cdm

mwigulu ni bingwa wa kubuni strategies za kila namna.trust me huyu akiungana na kitengo sijui pakutokea ni wapi.

My take kwa team yetu ya ukawa tuweke mipango vema na kujizatiti vema

§
§bwasheeee
 
Ndg zangu wanaukawa kuna tetesi kuwa Mwigulu ameteuliwa kuwa kampeni meneja wa magufuli,

Trust me nimeogopa,nimeshtuka na kutetemeka,Mwigulu alifanikiwa sana kuizima chadema kwa mipango yake na mbinu tofauti mpaka kupelekea makamu wa bavicha taifa kuhama,vijana machachari wakahama,

Ikumbukwe pia mwigulu ndie mastermind wa mgogoro wa zzk,arfi cdm

Mwigulu ni bingwa wa kubuni strategies za kila namna.trust me huyu akiungana na kitengo sijui pakutokea ni wapi.

My take kwa team yetu ya ukawa tuweke mipango vema na kujizatiti vema

§
§Bwasheeee

We gamba wewe kwanza usiite mwanaukawa! Mwigulu hana jipya, Kamuulize kule Arumeru mashariki kwa Nassari si ndiye alikua campaign manager? Ameshasahau kipigo? Halafu naye si alikatwa kwa kukosa maadili?
 
Tetesi nzuri sana, nadhani hataacha kumwajiri pia yule partner wake Lusinde a.k.a Kibajaji. Kwa matusi ya nguoni hawajambo. Mpaka wakamfundisha yule Muhishimiwa sana mstaafu hata akajisahau naye akamtukana Vincent.
Tumeshawaomba saana tu, mwaka huu siasa za matusi hatutaki wala siasa za maji taka hatutaki. Watoe sera tutawaelewa. Oktoba si mbali kihivyo.

Yaan wewe ccm unataabu kweli, unakuja hapa na kaunafiki Kako kutuogopesha, hutaamini macho yako.
 
Ndg zangu wanaukawa kuna tetesi kuwa Mwigulu ameteuliwa kuwa kampeni meneja wa magufuli,

Trust me nimeogopa,nimeshtuka na kutetemeka,Mwigulu alifanikiwa sana kuizima chadema kwa mipango yake na mbinu tofauti mpaka kupelekea makamu wa bavicha taifa kuhama,vijana machachari wakahama,

Ikumbukwe pia mwigulu ndie mastermind wa mgogoro wa zzk,arfi cdm

Mwigulu ni bingwa wa kubuni strategies za kila namna.trust me huyu akiungana na kitengo sijui pakutokea ni wapi.

My take kwa team yetu ya ukawa tuweke mipango vema na kujizatiti vema

§
§Bwasheeee

Mkuu ni Mwigulu huyu huyu tunayemjua ndiye unamwogopa kiasi hicho? Yeye na Lusinde ni mabingwa wa lugha chafu hakuna zaidi!!
 
Back
Top Bottom