mkuu mshana jr umesahau siku hizi au awamu hii akili moja ipo shared kwenye system nzima ya uongozi!? yaani kila kiongozi kabla hajawaza ana switch off akili yake na kuswitch on akili ya POMBE na haya ndio matokeo yake
Hautapita muda tutasikia imeundwa tume kuchunguza kama kweli alikua ni askari au la,pia kama kweli ile ilikua ni bastola.Kuzaliwa na kuishi Tanzania kuna raha yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] kuna vitu vinafanyika nchi hii mpaka unadhani Pengine vinafanywa na majuha na wendawazimuyale yale ya mtu ameshikwa ready handed unataka uchunguzi ufanyike tena
Umeona mteuliwa wa sharia alivyoshukuru kuteuliwa mpaka karibunu atoe chozi?mkuu mshana jr umesahau siku hizi au awamu hii akili moja ipo shared kwenye system nzima ya uongozi!? yaani kila kiongozi kabla hajawaza ana switch off akili yake na kuswitch on akili ya POMBE na haya ndio matokeo yake
Nakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....Usiume na kupuliza, mtu aliyemtolea bastola Nape anajulikana wazi Katoka wapi na katumwa na nani! Sisi raia ni ngumu kujua lakini kwa cheo chako cha waziri wa mambo ya ndani itakuwa ni kichekesho na dhihaka ya mwaka kumuagiza IGP atamtafute huyo mtu na kuchukuliwa hatua!
Eti ATAFUTWE na aangaliwe Kama ni askari kweli... Ooh My God kuna raia anaweza kufanya vile kweli? Kwa uthubutu Kutoka wapi?
Please tupunguzieni drama zenu hizi, unafahamu vema organs zisizo chini yako zinavyofanya kazi, umekuwa nazo hata kabla hujawa waziri enzi zile za zile drama zako
Usituzuge sasa yule mtu ulichopaswa kufanya ni KUAGIZWA AKAMATWE MARA MOJA.... kwakuwa anajulikana vema alitoka kitengo gani..... Punguzeni siasa za kitoto mtuhumiwa yuko huru kwa pozi zote.... Alitumwa hakwenda mwenyewe pale.... Mojawapo ya Kanuni za askari ni kupokea amri na kutekeleza bila kuhoji... Mtafuteni aliyemtuma pale.....
We are living in the era of reasoning....
hata kama wanausalama wetu wanaakili kama le mutuz hawawezi kufanya hicho kitu mkuubadaye watasema ile aliyotoa si bastola ni simu alitaka wapige selfie na Nape
Hata hiyo bahati ya kusikia kwa sasa hatutoipata tena, na wakuhoji hatokuwepo.Hautapita muda tutasikia imeundwa tume kuchunguza kama kweli alikua ni askari au la,pia kama kweli ile ilikua ni bastola.Kuzaliwa na kuishi Tanzania kuna raha yake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] maigizo mengine jamani ni hatari sana, Kama ni kweli kitenge naye ahojiweNakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....
Kengeza kubwakwanza hata kabla hatujaenda mbali lile swala la clouds yeye kama ni waziri analiona lipo sahihi..? kama lipo sahihi iweje hili la nape lisiwe sahihi hlf lile liwe sahihi..? ama ndo kuuma na kupuliza kwa kuogopa meno ya bwana mkubwa!
kama nape amefanyiwa vile hata wewe utafanyiwa najua nape ana thamani kubwa ccm kuliko wewe unaosumbuliwa na njaaNakuhakikishia yule si askari bali ni mtu aliyepangwa kufanya maigizo na kitenge....