Mwigulu hata hili la uvamizi wa mkutano wa CUF nalo utanyamaza?

Wewe ndio kiongozi unayesimamia usalama wa RAIA na Mali zao ndani ya mipaka ya nchi. Sina mashaka na uwezo wako kiutendaji ila mashaka yangu ni jinsi ulivyo geuka bubu tokea upewe wizara hii na hasa unapo paswa kutolea kauli matukio yenye harufu za uhusika wa serikali.

Nikuulize tuu, jee na hili la uvamizi mkutano wa ndani wa CUF na watu kwenye silaha mbalimbali ikiwemo bastola nalo utanyamaza?
Anatajwa Lipumba kuhusika jee utahakikisha polisi wako wanamuondolea "kinga" ya kutokamatwa?

Tunajua pengine kuna uthibiti umefanywa dhidi yako ndio maana hufurukuti, lakini wewe bado kijana na una future katika siasa, mbona unakubali kuififisha? Hujui kimya chako (au woga) unakujengea picha kuwa wewe ni dhaifu na legelege asiye weza madaraka?

Ni katika kipindi chako tuu ndio tumeona silaha zinatolewa kweupe mchana na hakuna anaye chukuliwa hatua huku mamlaka zikihusishwa.
Fanya jambo Mwigulu na heshima yako itasimama juu bila kujali kwa sasa mteuzi atakufanyaje.
Jana CUF Maalim ndio walikuwa na Golden Chance kuukomesha uhuni unaoendelea.
Yule Mungiki alipaswa kuwa Jehanamu kwa Sasa.
They Lost a Golden Chance na jamaa from now watakuwa wanajipanga sana.
 
Tafuteni Hoja za msingi
mambo ya Cuf Mwigulu wanini!!
Maalim alivuliwa uongozi anaitisha mkutano wa nini kama sio kuleta vurugu!!
Mwigulu ana mengi yakufanya
kwahiyo unataka hadi polisi wauliwe kama kuku ndo aje atoe tamko????

Mwigulu ana dhamana ya kulinda raia na mali zao bila kujali itikadi za vyama vya siasa.

Kwa hoja yako sasa nimeelewa kwanini Wananchi wanashangilia polisi wakiuwawa
 
hebu shika nafasi kama mke wa mwigulu/mama mwigulu then mpe ushauri afanyaje akiwa kama mmeo
 
hebu shika nafasi kama mke wa mwigulu/mama mwigulu then mpe ushauri afanyaje akiwa kama mmeo
 
hebu shika nafasi kama mke wa mwigulu/mama mwigulu then mpe ushauri afanyaje akiwa kama mmeo
 
Wewe ndio kiongozi unayesimamia usalama wa RAIA na Mali zao ndani ya mipaka ya nchi. Sina mashaka na uwezo wako kiutendaji ila mashaka yangu ni jinsi ulivyo geuka bubu tokea upewe wizara hii na hasa unapo paswa kutolea kauli matukio yenye harufu za uhusika wa serikali.

Nikuulize tuu, jee na hili la uvamizi mkutano wa ndani wa CUF na watu kwenye silaha mbalimbali ikiwemo bastola nalo utanyamaza?
Anatajwa Lipumba kuhusika jee utahakikisha polisi wako wanamuondolea "kinga" ya kutokamatwa?

Tunajua pengine kuna uthibiti umefanywa dhidi yako ndio maana hufurukuti, lakini wewe bado kijana na una future katika siasa, mbona unakubali kuififisha? Hujui kimya chako (au woga) unakujengea picha kuwa wewe ni dhaifu na legelege asiye weza madaraka?

Ni katika kipindi chako tuu ndio tumeona silaha zinatolewa kweupe mchana na hakuna anaye chukuliwa hatua huku mamlaka zikihusishwa.
Fanya jambo Mwigulu na heshima yako itasimama juu bila kujali kwa sasa mteuzi atakufanyaje.
afu eti naye anataka awe rais wa nchi. kweli Bongo shamba la bibi!
 
Katika tukio la uvamizi wa mkutano wa Cuf ya maalim,mlinzi wa Lipumba aliyedhibitiwa na wananchi alikuwa akiomba anusuriwe nafsi yake kwa kuwa yeye katumwa tu na Lipumba!Gari zilizopigwa mawe eneo la tukio zimeonekana ofisi ya CuF temeke ambako ndio makazi ya Lipumba!
Hapo ndio najiuliza,iweje polisi mpaka sasa hawajamtia nguvuni Lipumba?Hivi zile mbwembwe za kumkamata Lissu,ina maana makosa anayokuwa anashitakiwa nayo ni makubwa kuliko hili la uvamizi wa kutumia silaha?????
Kuna nini?
 
Tafuteni Hoja za msingi
mambo ya Cuf Mwigulu wanini!!
Maalim alivuliwa uongozi anaitisha mkutano wa nini kama sio kuleta vurugu!!
Mwigulu ana mengi yakufanya
Wewe ni mjinga kweli,Lipumba hewa hana mamlaka ya kumvua katibu mkuu wadhifa wake!Umeishia darasa la ngapi
 
Labda Mwigulu haikumbuki Historia ya JPM kipindi akiwa na nyazifa za Uwaziri, kuwa alikuwa ni MTU mwenye kusimamia alichokuwa anaamini ni sahihi No matter wakubwa wake wangenuna ama kufurahi.Misimamo hiyo ndo iliyowashawishi watanzania kumjaribu pia kakika nafasi ya Uraisi. Sasa jamaa yangu Mwigulu naona safari yake ya kiuongozi wa nchi hii anataka iishie hapo alipo.!!!
 
Back
Top Bottom