Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha zilizochukuliwa kimakosa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika akaunti za benki, zitarejeshwa “anaweza mtu kodi yake imechukuliwa kimakosa hata asipopewa cash (taslimu), atapewa kwa mfumo mwingine.”