Mwigulu: Fedha zilizochukuliwa kimakosa na TRA katika akaunti za benki zitarejeshwa

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,601
6,015
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha zilizochukuliwa kimakosa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika akaunti za benki, zitarejeshwa “anaweza mtu kodi yake imechukuliwa kimakosa hata asipopewa cash (taslimu), atapewa kwa mfumo mwingine.”
 
Lip service and stupid statement that has been uttered to win a cheap polical popularity. Its fulfilment is a nightmare.
 
Itakua ni kwa mara ya kwanza TRA kumrudishia mtu pesa iliyochukuliwa kimakosa...

Wakiwa wanakudai wao utajuta, ila ukiwa unawadai wao hawana habari na wewe...
 
Uzalendo uko wapi ? Wananchi si waisamehe tuu serekali, ndio kuchangia maendeleo 🤷‍♂️
 
Zitarejeshwa lini? Watu tulichukua mikopo bank tumefanya biashara na makampuni ya kuzalisha nguzo za umeme Iringa, ni mwaka sasa tunapigwa danadana tunaambiwa account za hayo makampuni zimefungiwa na TRA sisi tunaumizwa kwa kosa lipi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom