Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

Hiyo katiba ndio inayowafanya wapinzani ndani ya CCM kukomaa humo humo kwa matumaini yanayofifia kila siku kwamba watakikomboa chama toka kwenye makucha ya magamba.
 
Sidhani kama kuna kweli kiongozi ndani ya CCM anayeisoma na kuitafakati. Nafikiri imebaki tu kwenye makabati.
 
Iiwekwe kanuni kila mbunge na waziri aeleze anatekelezaje ahadi za mwana ccm katika uwakilishi wake bungeni na utendaji kama wazirHapo ndipo mtaona mambo. Licha ya kutokujua hata kuitafsiri katika utendaji kazi zao, kwanza wala katiba hawaijui. Wanadakia dakia ilani ya uchaguzi na kuiba sera za Chadema ili wazitekeleze kwa lengo la kujipendekeza kwa wananchi na si kwa sababu ya kuwahurumia kwa maisha magumu ya taabu wanayoishi.
 
Jeshi la Polisi ni makini sana. Kwani lilichukua muda gani kuwabaini wauaji wa kamanda Barlow?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Na lilichukua muda gani kubaini wanyama mlioiba?
 
Hayo yote Mwigulu na Nape hayajui. Wao wakifungua midomo wanachoweza kutamka ni CHADEMA, Slaa, Mbowe, kaskazini, ukabila, ukanda, udini na ugaidi. Jiulize ni lini ulimsikia mwenyekiti wao akitamka maneno "ujamaa na kujitegemea". Katika hotuba zake zote sijawahi kumsikia akitamka maneno hayo! Wao waliamua kuweka maandishi hayo kisha wakayaita katiba bila kujua hata maana ya neno katiba ndio maana wanafanya mambo mengine ya kuineza CHADEMA
 
CCM ile ya enzi zile ilikuwa na maadui watatu: Umasikini, Ujinga na Maradhi! Hii ya sasa adui yake mkuu ni CHADEMA NA FISADI ANATETEWA KWA NGUVU ZOTE KULIKO MZALENDO!
 
Back
Top Bottom