Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Thanks God!!Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.
Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM
Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.
Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.
Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.
Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM
Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.
Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.
labda ingekuwa iramba na si arusha! Subiri tarehe 16, utaamini niandikacho!Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.
Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!