Mwigulu azomewa vibaya Kaloleni Arusha

Greenwhich

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
1,337
968
Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.

Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM

Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.

Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.
 
Thanks God!!
 
Subiri Mtela Mwampamba atakavyokuja hapa kumpamba boss wake kwa jinsi alivyofunika huko Kaloleni.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
 
Wee kweli PUMBA, yaani wanaokuzomea ndio wapiga kura halafu wewe unasema ni mwiba kwa wapiga kura huku sio kuchanganyikiwa kwako kweli!!? SERUKAMBA MASABURI YAKO WEYE
 
Naona watu hawataki source ya hii habari. Kweli kuwa mwana CHADEMA ni kama kuwa mfuasi wa Kibwetele.
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

Mbona alikuwa Arumeru na akapigwa chini.
 
Arusha sio iramba, huwezi kwenda arusha kugawa rushwa na kufanya mazingaombwe ukadhani watu watakupa kura. Mwigulu ataondoka kwa aibu sana arusha! Kata zote zitakwenda chadema! Chezea watu wa A town wewe!
 
Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

Umenena vyema hata sisi tulikuwa tukimzomea anaekuwa wa mwisho darasani.....!
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.

KWELI VIJANA MNATUMIKA NA CCM,Halafu akili uozo kama hizi zinasubiri zipewe vyeo na ukuu wa wilaya,hata Malaya hufika sehemu akaona aibu kwa mavazi na matendo yake!!
 
Mambo yalikuwa si mambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba hapa jijini Arusha jioni hii.

Wananchi wa kata ya Kaloleni wakiongozwa na akina mama wamemzomea vibaya ndugu Nchemba jioni hii katika mkutano wa kumnadi diwani wa CCM

Hali hiyo ilisababisha sintofahamu kubwa na Mwugulu Nchemba aliokolewa na polisi walioitwa kuja kutuliza mambo.

Wananchi hao walichukizwa na siasa za matusi zinazofanywa na Mwigulu dhidi ya Chadema na viongozi wake.

Nadhan hakuna haja ya kudil na outcomez zinazompata huyu jamaa kutokana na ujinga anaendelea kuufanya cha msingi ni kuhakikisha huyu bwana anaoendelea kufanya ujinga wake pale wapambanaji tunapofanyia kaz facts zenye manufaa kwa umma wa watanzania wanyonge.
 
Ukiona umezomewa pindi upitapo, usemapo au usimamapo mahali, basi ujue wewe ni mwiba kwa watu hao wanao kuzomea.

Mwigulu ni Mwiba katika chaguzi ndogo zinazo endelea huko Arusha, na asiondoke mpaka ahakikishe kata zote zinarudi CCM.
labda ingekuwa iramba na si arusha! Subiri tarehe 16, utaamini niandikacho!
 
Chadema wakiona mambo magumu hukimbilia kuzomea! Ni utoto huo demokrasia ya kuzomea haipo popote duniani isipo kua Tanzania na ili anzishwa na Dr Slaa! Chadema mnatia aibu sana na tabia yenu ya kuzomea!

Naona wewe ni mgeni hapa duniani.....!
 
...ahsante wanaArusha kwa kuukataa uovu kwa vitende..."jambo baya likitendeka mbele yako,likemee ikibidi liondoe kwa mikono yako na kama hauna uwezo huo basi nuna kuonesha hisia zako"...wanaArusha mmekuwa mfano na wanaMtwara/Lindi sasa wameonyesha njia ya kuelekea kwenye ukombozi wa kweli..."TUKO PAMOJA NA TUNAWAUNGA MKONO"...
 
Back
Top Bottom