Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
CHADEMA ni chama cha watu hawa tu; Mbowe, Dr Slaa, Mnyika na Lema.
Wewe endelea kuota tuu...mziki wa chadema mwigulu atauweza wapi? Haya kachukuwe buku 7 kwa basha wako mwigulu.Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
Upo usingizini? Lugha gani hizo unazotuletea?Si mlileta usi kuwa watu hawakuudhuri? Alihutubia viti?
Duh! Mwigulu ingawa sikufahamu lakini chadema umewaweza. Maana yake hawapati usingizi kwa sababu yako, na wakifanikiwa kusinzia tuu wanaota jinamizi la mwigulu linawakaba.
Tukiwa kama wana Iramba eneo la Urafiki Club, Ukumbi wa Nyangumi leo jioni 03/08/2013. Bwana Mwigulu Nchemba amewaonya wana Iramba Kuishabikia CHADEMA akisema kwamba, yeyote atakayeshabikia CHADEMA atakuwa anajitenga na maendeleo, na yatakayompata asimlaumu yeyote wala kuiomba serkilali msaada wa aina yeyote, kwa sababu wameonywa mapema lakini waka kaidi.Alisisitiza kwamba CHADEMA ni chama Cha Kighaidi. Rafiki yao Zitto Ameshindwa itakuwa wao !
Mwigulu Aliendelea kusema kwamba Iramba imebarikiwa kupata kiongozi wa ngazi ya juu kwenye chama tawala, kwa hiyo kero zao zote zitasikizwa. Zaidi ya wadau wachache, Kikao kiliudhuriwa na Mkuu wa wilaya ya Iramba Ndugu Yahya Nawanda, pamoja na Ndugu Kilimba ambaye amewahi ku
HIVI MWIGULU ANADHANI ANAONGEA NA WATOTO ET?