Mwigulu awajia juu Chenge, Werema

Alikuwepo wapi wkt miswada hiyo inasainiwa na hao ma AG na km alikuwepo alijaribu kupaza sauti kwa kile kilichofanyika?
 
Chenge kila kashifa ya ufisadi yupo, hivi ingekuwa China huyu mtu angekuwa wapi?, naomba majibu
Sakata LA rada wangemnyonga hadi kufa, Richmond wangefukua kaburi na kuchoma moto mifupa,escrow sehemu ya kaburi wangeweka shimo LA taka mikataba ya madini wangechimba public toilet sehem ya kaburi lake
 
Mnafiki tu huyu nae...!! Wale wale ! kinachomuuma labda hajamegewa pande .
 
Mwigulu, aibu hii! Nikiulizwa leo watu ambao wanakiwa waangamizwe kwenye sayari hii, napendekeza WANASIASA. Ndiyo taaluma pekee duniani ambayo kusema uongo siyo kosa!!!! Tena unasema uongo, huku ukishangiliwa
 
Chanzo cha umaskini unaowakabili watanzania ni CCM. Kwa miaka mingi tangu uhuru wamekuwa wakisaini mikataba ya hovyo kabisa. Hatujanufaika na madini yetu kwa sababu hii.
 
Back
Top Bottom