Wakati huo Chenge alikuwa ni 'msafi' kuliko wengi ndani ya mfumo wao.Ndio ccm wamemchagua kuwa Mwenyekiti wa bunge,pia walimpa uongozi wa kamati ya uandishi BMK!
Ccm haiishi vituko
Sakata LA rada wangemnyonga hadi kufa, Richmond wangefukua kaburi na kuchoma moto mifupa,escrow sehemu ya kaburi wangeweka shimo LA taka mikataba ya madini wangechimba public toilet sehem ya kaburi lakeChenge kila kashifa ya ufisadi yupo, hivi ingekuwa China huyu mtu angekuwa wapi?, naomba majibu
Chenge kila kashifa ya ufisadi yupo, hivi ingekuwa China huyu mtu angekuwa wapi?, naomba majibu
Ndo ukweli huo.japo akili zetu zitawaza kiki za kisiasa.
Tuungane kutetea mali za tanzania,