Zaidi ya kuongeza kodi kwa mwananchi hana zaidi analojua, angekuwa ana uwezo mkubwa angekuja na vyanzo vingine vya mapato.Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
Nani amchague Kigwangala?Dr Mwigullu Nchemba, January Mamba, David Kafulila na Dr Kigwangalla
Kiukweli 2030 itakuwa burudani
Kama weweTaifa hili idadi ya Wapumbavu inazidi kuongezeka
Urais umekuwa rahisi sana.Naunga mkono hoja ,Mwigulu na January ni hazina kubwa kwa taifa wanafaa kushika cheo cha Rais
Kwani kama hakuna vyanzo vya mapato ameweza vipi kutekeleza bajeti kwa 95%?Zaidi ya kuongeza kodi kwa mwananchi hana zaidi analojua, angekuwa ana uwezo mkubwa angekuja na vyanzo vingine vya mapato.
Sasa huo ndio mwisho wa kuwaza kwake, kama kodi kila mtu anaweza weka kodi, hii nchi ina vyanzo vingi vya mapato tofauti na kodi ila yeye mwisho wa kuwaza kwake ni kwenye kodi kodi kila kona yani muamala mmoja unalimwa kodi mpaka basi, niweke ela yangu inakatwa kodi nikienda itoa inakatwa kodi nikaenda mtumia mama inakatwa kodi.Kwani kama hakuna vyanzo vya mapato ameweza vipi kutekeleza bajeti kwa 95%?
Hizo tozo zimeleta na zinaendelea kuleta mageuzi kwenye sekta mbalimbali kama kilimo,maji ,elimu na barabara..
Siku hizi huwa unasikia kelele za wabunge kukosa pesa za barabara via TARURA?
Moja ya hivyo vyanzo vingi ni hizo tozo..Sasa huo ndio mwisho wa kuwaza kwake, kama kodi kila mtu anaweza weka kodi, hii nchi ina vyanzo vingi vya mapato tofauti na kodi ila yeye mwisho wa kuwaza kwake ni kwenye kodi kodi kila kona yani muamala mmoja unalimwa kodi mpaka basi, niweke ela yangu inakatwa kodi nikienda itoa inakatwa kodi nikaenda mtumia mama inakatwa kodi.
Kuweka kodi kila mtu anaweza tu.
Bandari, gas, maadini.Moja ya hivyo vyanzo vingi ni hizo tozo..
Taja hata vyanzo 3 unavyovijua wewe unaewaza Sana.
Kwani saizi hazitumiki?Bandari, gas, maadini.
Laiti bandari yetu tu ingeendeshwa vizuri ingeingiza pesa nyingi. Ndo maana kagame aliwah omba apewe bandari ya tanga.
Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini watanzania wanafuata bidhaa kampala ambazo zilipita hapa bandarini kwetu ni kisha kuja kuziuza hapa hapa kwa faida?
Kwani saizi hazitumiki
Mimi namdisqualify kwenye hulka ya majivuno na ubabe kama Jiwe ila kwingine ni anafaa Vizuri tuu..Kwa maswali yako haya, basi bila shaka utamuona jamaa anafaa kuwa raisi.
Pole mkuuLiwe somo watu wenye mambo ya utoto-utoto wa Simba na Yanga jamaa wawe makini sana na nafasi wanazowapa.
Mwigulu mpaka leo aelewi uzito wa nafasi yake nchi zingine waziri wa uchumi, mambo ya ndani na mambo ya nje ni watu wakubwa sana na ndio mawaziri pekee wenye police escort nchi nyingi duniani.
Mtu mwenye kuelewa ugumu wa majukumu yake na sera anazotunga zina impact kubwa kwenye maisha ya millions of people positively or negatively kutokana na maamuzi yake awezi kuwa na muda na upumbavu wa mambo ya mpira.
Huyu mtu anatakiwa atolewe ata hiyo wizara ya fedha. Aelewi gravity ya nafasi yake.
Waanze kuwaangalia wengine kama hakina Mtaka, Jaffo, Biteko na wengineo. Hila Mwigulu na wengine ni Makamba na Kigwangalla hao watu hawafai kupewa majukumu makubwa ni watu ovyo mno.
Ninamini we ndio ulitumika kuchora kwenye mawe 2015 mwiguru Raisi ajaye,atabaki kuwa Rai'si WA mawe.Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
Labda raisi wa wala punda kama sufianiLicha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri