Haya maswali ya kipuuzi nenda kaulizane na wenzako pale Ufipa. So far hauna Hoja ya msingi wa Ushahidi pasi na Shaka wa kubeba Uzi wako.Huo ushahidi unataka uweje ili uamini kwamba ni ushahidi?
Watu wa Iramba Magharibi wameelewa wewe kama hujaelewa hilo ni tatizo lako siyo langu. Ushahidi unataka uweje ili kwako uwe ushahidi?Umefungua Uzi kwa kutumia hisia zako binafsi na mihemko.
Ushahidi ninao ila nataka kujua kama ushahidi nilio nao ndiyo wewe unautaka. Unajua kuna aina nyingi za ushahidi. Kumbuka ulipoingilia hii mada ulianza kwa shutuma kwamba natunga uongo na sijawahi kuwepo Iramba Magharibi.Kama wewe ulivyojua ya kwamba kuna "Maelezo maalum kutoka JUU" ya kusaidia Kitila kumtoa Madelu jimboni.
Ni wapi katika mabandiko yangu nilipoandika ya kwamba HAUJAWAHI KUWEPO IRAMBA MAGHARIBI!!?? Kamanda Jitafakari aisee. ACHA UONGO MTU MZIMA HAIPENDEZI.Ushahidi ninao ila nataka kujua kama ushahidi nilio nao ndiyo wewe unautaka. Unajua kuna aina nyingi za ushahidi. Kumbuka ulipoingilia hii mada ulianza kwa shutuma kwamba natunga uongo na sijawahi kuwepo Iramba Magharibi.
Na ndiyo maana kwenye kuonesha kwamba nilikuwa Kiomboi nikatoa ule mfano wa kumsaidia yule mgonjwa aliyeanguka Kifafa pale Mampanta kama mojawapo ya "Ushahidi" kwamba nilikuwa Iramba Magharibi.
Nilikueleza ya kwamba na narudia tena ukiamua kuninukuu nilichoandika usi edit bandiko langu halisi ili kumpa mwanga mtu wa tatu atakayesoma mdahalo kati yangu nawe. Mbadala wa hapo unaweza kuandika bila kuninukuu utaeleweka.uweje?
Hizo ni kanuni zako si Kanuni za JF. Unataka ushahidi kwamba Kitila anasaidiwa na mfumo wa CCM kupambana na Mwigulu uweje?Mbadala wa hapo unaweza kuandika bila kuninukuu utaeleweka.
Una matatizo. Usipopata huduma ya tiba haraka utakuwa "Takwimu" muda si mrefu kamanda.Hizo ni kanuni zako si Kanuni za JF. Unataka ushahidi kwamba Kitila anasaidiwa na mfumo wa CCM kupambana na Mwigulu uweje?
Aina ya ushahidi unaoutaka ndiyo mada yetu. Uweje ili kwako uwe ni ushahidi kwamba Kitila anasaidwa na mfumo wa CCM kushindana na Mwigulu Iramba Magharibi?Una matatizo. Usipopata huduma ya tiba haraka utakuwa "Takwimu" muda si mrefu kamanda.
Ni kwel mkumbo kwasasa ni mbunge mtarajiwa Iramba, lakini ukifuatilia mwananchi mmoja mmoja wengi mioyo yao ipo kwa Mwigulu.Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Umeshahamisha Goli na kubadili hoja kuwa "Anasaidiwa na Mfumo wa CCM" kutoka hoja yako ya awali iliyosomeka "Maelekezo kutoka JUU"!? ACHA UZANDIKI kamanada. Simamia UKWELI na UWAZI.Aina ya ushahidi unaoutaka ndiyo mada yetu. Uweje ili kwako uwe ni ushahidi kwamba Kitila anasaidwa na mfumo wa CCM kushindana na Mwigulu Iramba Magharibi?
Hivi huyo ndio mke wake mwigulu??
@DrLove69 na huyu naye mwambie alete ushahidi!Ni kwel mkumbo kwasasa ni mbunge mtarajiwa Iramba, lakini ukifuatilia mwananchi mmoja mmoja wengi mioyo yao ipo kwa Mwigulu.
Sema Chama Hakimtaki Tena Mwigulu.
So bye bye Mwigulu
Samaki mdogo Kula samaki mkubwaWageni wanapowatoa wenyeji Knock-out!!
Muache muda utaongea tu! Sisi tuliopo eneo husika ndiyo tunaijua hali halisi, kama yeye anasoma jf na fb usibidhane nae.@DrLove69 na huyu naye mwambie alete ushahidi!
Kila anayesema huu ndiyo ukweli, yeye hukimbilia kusema ni mimi natumia ID nyingine kujijibisha!!Muache muda utaongea tu! Sisi tuliopo eneo husika ndiyo tunaijua hali halisi, kama yeye anasoma jf na fb usibidhane nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaitana na kufukunyuana kwenye mashimo yenu yote huko Ufipa. Ila Propaganda za Uongo na Uzandiki hazitoboi awamu hii. Mnatapatapa sana.@DrLove69 na huyu naye mwambie alete ushahidi!
BADO NINA IMANI NA MWIGULU KAMA ISSUE NI KUKERWA NA UMASKINI WETU HUKU IRAMBA.Ni kwel mkumbo kwasasa ni mbunge mtarajiwa Iramba, lakini ukifuatilia mwananchi mmoja mmoja wengi mioyo yao ipo kwa Mwigulu.
Sema Chama Hakimtaki Tena Mwigulu.
So bye bye Mwigulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo sisi tuliokuwepo Dodoma wakati Tundu anatandikwa Risasi tunavyojua hali halisi dhidi ya nyinyi mnaosoma JF na FB mbavyo hatubishani nanyi.Muache muda utaongea tu! Sisi tuliopo eneo husika ndiyo tunaijua hali halisi, kama yeye anasoma jf na fb usibidhane nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushahidi katika hili??Mtaitana na kufukunyuana kwenye mashimo yenu yote huko Ufipa.