UONGO wako ni hii taarifa uliyoileta hapa. Kuanzia mwaka huu umeanza niko sana kikazi maeneo ya Iramba, Ikungi na maeneo ya mpakani na Shinyanga. Maeneo niliyokuwa kikazi hapo Iramba ni Gumanga, Kaselya, Kimpunda, Mbelekese, Msingi, Ndago, Kinyangiri, Ilunda, Urugu, Timbwa n.k. Hali halisi ya maeneo hayo uliyoyataja sio kama unavyotaka kupotosha Umma katika Uzi wako.Asubuhi ya leo nilikuwa Doromoni na Kisana. Nimefika Ndago, mngongo na kulala Kiomboi kwa zaidi ya wiki. uongo wangu uko wapi?
Wewe mara mwisho kufika Kinambeu au kisiriri ni lini?
Kazi za siasa anazifanyaje zama hizi mkuu?Hapa upinzani una nguvu sana ila hawako - Organized. Na aliyegombea mwaka 2015 kupitia CHADEMA ambaye ni Jesca Kishoa, sidhani kama amewahi kurudi na kufanya kazi ya siasa hapa Iramba Magharibi.
Wewe unasema uko kikazi, Kazi yako inahusiana na kuuliza mwenendo wa siasa ndani ya CCM jimbo la Iramba? Unajua kwamba wiki iliyopita madiwani waliambiwa waende wakakutane na mbunge wao mwisho wa siku waliishia kwenda kukutana na Kitila? Huoni kama nimem-tag Kitila kwenye uzi wangu. Kama lingekuwa ni jambo la kuzusha ningem-tag Kitila?Wewe ni mtu mzima na mwenye heshima zako humu JF. Mambo kama hayo waachie hawa makamanda Uchwara wanaotegemea kulala kwenye kochi la Shemeji na bundle za Chuo!
Anawasiliana na viongozi wake wa Jimbo, yeye ni Mbunge viti maalum, amefanya kazi yoyote na BAWACHA? Hivi viongozi wa CHAADEMA Iramba wanapokamatwa na Polisi yeye huwa anashiriki katika kuwasaidia kisheria?
Achana na propaganda Uchwara kamanda. Kumtag Kitila kunaipa uhalali gani wa taarifa yako Potofu!?Wewe unasema uko kikazi, Kazi yako inahusiana na kuuliza mwenendo wa siasa ndani ya CCM jimbo la Iramba? Unajua kwamba wiki iliyopita madiwani waliambiwa waende wakakutane na mbunge wao mwisho wa siku waliishia kwenda kukutana na Kitila? Huoni kama nimem-tag Kitila kwenye uzi wangu. Kama lingekuwa ni jambo la kuzusha ningem-tag Kitila?
Yap. Kuna joto la hatari na mawingu ya kutosha ingawa mvua inanyesha kimtawanyiko!!Bro kumbe upo Iramba Nkulu aiseh
Inaonekana kuna maelekezo maalum ya kumsadia Kitila Mkumbo kuwa Mbunge la Iramba Magharibi jimbo linaloshikiliwa hivi sasa na Mwigulu Nchemba.
Kwenye mizunguko yangu jimboni humo, jimbo mojawapo kati ya majimbo machache yaliyobakia kutumia fedha za vijiji kufanyia siasa za CCM, Mwigulu amebaki kupiganiwa na watu wachache dhidi ya kundi kubwa linaloonekana linapokea maelekezo toka ngazi za juu ndani ya chama hicho.
Kitila Mkumbo inaonekana anazidi kukaza kitanzi kitakachomuua kisiasa Mwigulu Nchemba kwenye jimbo analoliongoza hivi sasa
Mkuu huko kote unafanya nini?? Nani kafadhili hii study yako??? Yeyote akipita sawa tu maana hata sioni faida ya wabunge nchi hii. hasa wa ccm.Asubuhi ya leo nilikuwa Doromoni na Kisana. Nimefika Ndago, mgongo na kulala Kiomboi kwa zaidi ya wiki. uongo wangu uko wapi?
Wewe mara mwisho kufika Kinambeu au kisiriri ni lini?
siasa hadi 2020 mkuu. labda dadangu atakumbuka nyumbani mwakani sasaHapa upinzani una nguvu sana ila hawako - Organized. Na aliyegombea mwaka 2015 kupitia CHADEMA ambaye ni Jesca Kishoa, sidhani kama amewahi kurudi na kufanya kazi ya siasa hapa Iramba Magharibi.
Sisi wengine ni "Political animal" popote tulipo tunajishughulisha na siasa. Jana on my way out, nilimsaidia mama mmoja pale Mampanta kumpeleka Old Hospitalini baada ya kuanguka kifafa. Nimeambiwa kuna siku Ambulance iliitwa kumchukua mgonjwa pale kwenye zahanati ya Mampanta lakini ilichukua saa 4 kufika kwa hoja kwamba ilikuwa haina mafuta.Mkuu huko kote unafanya nini?? Nani kafadhili hii study yako???
Naomba nikuweke sawa tu ya kwamba niko JF tokea enzi za Jambo Forums na Young Africans kama unazifahamu. Usikariri upya wa ID ukachukulia ya kwamba mimi ni mgeni hapa JF.DrLove69 labda wewe ni mgeni JF. Hapa mtu anachagua kujibu anachotaka kujibu. Na kwa wale wa muda kidogo ndiyo tuliomba mtu aki-Quote ifupishwe. Sasa mantiki ya wajibu hoja kunukuu bandiko zima ikafa.
Ili uwe ukweli nimeseme kwamba Kitila hasaidiwi na CCM kupambana na Mwigulu!!
Hata pale kwenye machimbo ya Mgongo nimeambiwa kwamba usalama ni kila mtu na nguvu yake!!Huko sisi tushazoea tu kujitegemea! kama huna hela ya akiba basi andika huyo ndugu umempoteza.
Kwenye umaskini unajidanganya! Kuna maeneo TZ hii ni maskini maradufu ya Iramba. ccm ni tatizo letu la msingi kama nchi kwa kuwa ina wabunge zaidi 3/4 ya bunge letu.Yaani hilo jimbo wana umasikini wa kutupwa lakini bado wanawakumbatia ccm
Mwigulu Nchemba
Nimetembea maeneo mengi sana lakini Iramba wanajitahidi sana kwenye kujiletea maendeleo. Kwa mfano kwenye ujenzi wa nyumba na upangaji wa mji wa Kiomboi na baadhi ya vijiji. Ingawa kuna tatizo kubwa sana la maji na madaraja kwenye yale maeneo yenye mito ya msimu. Ila Mkalama wana Hali mbaya kwa kweli.Kwenye umaskini unajidanganya! Kuna maeneo TZ hii ni maskini maradufu ya Iramba. ccm ni tatizo letu la msingi kama nchi kwa kuwa ina wabunge zaidi 3/4 ya bunge letu.
UONGO wako ni hii taarifa uliyoileta hapa. Kuanzia mwaka huu umeanza niko sana kikazi maeneo ya Iramba, Ikungi na maeneo ya mpakani na Shinyanga. Maeneo niliyokuwa kikazi hapo Iramba ni Gumanga, Kaselya, Kimpunda, Mbelekese, Msingi, Ndago, Kinyangiri, Ilunda, Urugu, Timbwa n.k. Hali halisi ya maeneo hayo uliyoyataja sio kama unavyotaka kupotosha Umma katika Uzi wako.
Wewe ni mtu mzima na mwenye heshima zako humu JF. Mambo kama hayo waachie hawa makamanda Uchwara wanaotegemea kulala kwenye kochi la Shemeji na bundle za Chuo!
Unamuongelea Zito yupi ww wazee pamoja na vijana hapa Ujiji wanamkubali sana Jembe Zito. #MwiduweAcha siasa za uchonganishi, Mwigulu bado anapendwa. Ila Zito ndiyo hatakiwi kabisa kigoma, yaani asahau ubunge