Sasa Mwigulu anachangia bajeti ya Makamu wa Rais Muungano. Anasema kuwa anachofanya Lissu ni jitihada zake za kuwafitinisha Wazanzibari baada ya kushindwa kuwachonganisha Watanzania Bara. Anasema kuwa wakati mwingina anaona aibu kujitambulisha kuwa anatoka Singida kutokana na matendo ya Tundu Lissu. Anasema kuwa Lissu ameongea mambo mengi ambayo hana takwimu wala hakika yake. Anawashangaa Wazanzibari kwa kufurahia hotuba ya Lissu huku wanajua kuwa anafanya jitihada za kuwagombanisha. Anasema kuwa mambo yakiharibika watakaoumia ni Wazanzibari huku Lissu akifurahia kwake Singida.
Ni kwa vile huna uwezo wa kuelewa hoja
Mkuu, labda kama wewe unaona kuwa ni pumba. Ila hakika Lissu leo anaumbuliwa kama anavyoumbuliwa mara kwa mara
naamini lissu ni nusu huku juu, sijui wanaomshangilia nao ni nusu??Hapo hakuna hoja ila ni ushabiki tena wa kike, samahani kwa kutumia neno hilo.Kuna hekima na misingi ya uongozi ambayo viongozi wetu wengi hawana. Kuna neno akisema kibajaji linakuwa ni sawa lakini akisema mtu wa level na calibre ya mwigulu inakuwa si sawa.