Toka nlivyoona mama kampa "kibubu cha nchi nljua tumepigwa....100%Mzaha mzaha mwisho utunga usaha.
Kama ni kweli bunge litakuwa seriously safari hii namuona Mwigulu akirudi jimboni mapema.
Wabunge wengi waliochangia ripoti ya CAG wameelekeza lawama zote kwa waziri wa fedha wakisema kuwa yeye ndiye mlipaji mkuu wa serikali.
Sasa sijui kama huu moto ulioanza kukolea pale mjengoni kutamuwacha salama kaka yetu Maderu.View attachment 2578425
Wasipo angalia 2030 ccm itapata mtihani mgumu sana ogopa raia wakichoka kitu furani kwa moyo wao wote...Naona jamaa kaamua kutafuta mtaji wa 2030 ingawa hana ushirika na Mungu
Wasipo angalia 2030 ccm itapata mtihani mgumu sana ogopa raia wakichoka kitu furani kwa moyo wao wote...
[/QUOT
Raia gani
Kula yangu haitegemei siasa. Mnaoishi kwa uchawa endeleeni kupuliza mazumariUkiwa sukuma gang ndiyo utaishia kisukari tu na unakonda kama mshale wa kimasai