Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

Mwigulu akalia kuti kavu Iramba Magharibi

Status
Not open for further replies.

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Hali ya chuki dhidi ya CHADEMA inayoonyeshwa na mbunge wa Iramba Magharibi dhidi ya CHADEMA imesababisha wafuasi wa CHADEMA kote nchini kuungana kuhakikisha CHADEMA inamshinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la Iramba 2015.

Mwigulu Nchemba anakabiliana na Msomi aliyebobea Dr Kitila Mkumbo ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA.

Pia wafuasi wa CHADEMA wameapa kuhakikisha CHADEMA inazoa viti vyote vya udiwani Iramba Magharibi ili kumuonyesha ni nini maana ya nguvu ya umma.

Katika mahojiano na wafuasi kadhaa wa CHADEMA wa mikoa ya Mara,Kagera na Mwanza wameutaka uongozi wa CHADEMA kuanzisha Akaunti maalum ambayo itachangiwa na wanachama kuhakikisha Mwigulu harudi bungeni.

Wanachama hao wamesema chuki ya Mwigulu dhidi ya Chadema hailezeki na ameapa kutumia njia zozote kuiangamiza CHADEMA.Wamesema hata awapo bungeni hatetei chochote wanaIramba zaidi ya kutukana na kukashifu viongozi wa CHADEMA.

Hii itakuwa ni Operesheni Ondoa Mwigulu Iramba(OMI) walisema wafuasi hao wa Chadema.Pia walisema watajitolea kukaa Iramba kipindi chote cha Kampeni kuhakikisha Mgombea wa CHADEMA anapata ushindi wa 80%.

Kwa sasa Jimboni Iramba Dr Kitila Mkumbo anazungumzwa kila kona ya Jimbo hilo kama mwanasiasa makini,mpole na mtetezi wa dhati wa wananchi.Mzee mmoja katika kata ya Ndago Iramba aliwahi kusema mwaka jana kuwa kwa kawaida watu wa Iramba ni wanyenyekevu na wenye kupima maneno kabla ya kuzungumza mfano wa Dr Kitila.Mzee huyo alisema hawakuwahi kujua kama kuna siku wangekuwa na mbunge mwenye kuhamasisha chuki ndani ya jamii kiasi cha kuhatarisha amani ya nchi.
 
that is great let that senseless katibu go, we are tired of his foolish politics, we need peace in this country, mchemba is very dangerous for peace and stability of this country
 
mtoeni huyu kwani hana staha. amejaa matusi tu. tumemtuma bungeni kutukana au kuwakilisha sera za c.c.m zinatekelezwa ili kuongeza mvuto kwa vijana ambao wamechoka na siasa za kitoto. kama kuna mchango tuambieni tuchangie mpaka atoke. muda mwingi anapambana na wapinzani kwa siasa chafu za kuua watu, na kubambikiza kesi za uongo. na kwa bahati mbaya aliapa mpaka bungeni kwamba atatoa ushahidi mpaka mbinguni mungu mwenyewe atamshusha kuburi chake. tangu zamani kulukuwepo tawala zenye kuburi kama yeye lakini zilishushwa chini. usicheze na Mungu kw auongo na uzushi. mzimu huu utakufuata tu. mchemba msalimie nape, na wasira.
 
Nitamchangia bwana Zitto, Mnyika, Mkumbo, Mdee na Shamsi Vuai Nahodha, mkianza kampeni tu nitawasaidia
 
Hata mimi nitachangia. Nipo tayari kusimama majukwani na kwenda nyumba hadi nyumba Iramba kwa kuanzia na kijiji chake cha ULEMO, kwa gharama yangu kuhakikisha Mwigulu harudi bungeni wala kupata madaraka ya aina yoyote. Huyu kwa matusi anayoyatamka, ushiriki wake wa kubambikia watu kesi, kupanga mipango ya kushambulia watu, n.k.; lazima tuhakikishe baada ya kumtoa kwenye ubunge, anasimamishwa mbele ya vyombo vya kisheria kwa uovu alioufanya.

anzisheni acount haraka tuchangie nina hasira sana na mwigulu.....
 
Mgulu unaona reactions za watu juu ya siasa unazoziendesha? Unaweza kutabiri matokeo yake au bado uko puffed up? Nadhani ni wakati muafaka wa kumeza kiburi chako na kuamua kuanza kuwatumikia wananchi na kuacha siasa za matusi zinazoudhi wengi nikiwemo
 
uyu jamaa ana siasa za kishetanii. .hana weledi wala stahaa...amejaa siasa za chuki na kuleta matabaka katika jamii...mwigulu amenifanya nione ccm kama chama cha wapuuzi wachache
 
Wazungu kwa maneno rahisi wana kamsemo haka "don't cut an arm that feeds you"
 
Nina chuki na Mwigulu.......
Mungu amjalie ajirekebishe.!!!!!
 
yes COUNT ME IN TO SWEPT AWAY THE TERROR
 
niko tiari kuchanga na kuhamasisha wachangiaji wengine ili huyu shetani apotee kwenye ulimwengu wa siasa!!
 
it is time to change mr Mchemba your system of politics is outdated, I thought having a first class degree was going to help you to be reasonable, Can you pliz notice Nape he has toned down his voice, With you you think the world is all yours. Leadership is to be loved by people not to be hated the way it looks to you, Please adjacent your politics
 
Mwigulu amenyea genge kazi yake tutaifanya sisi makamanda ngoja twende iramba nikuchakaza ondoa maraya iramba
 
na singida watamtoa,hajaleta maendeleo yoyote zaidi ya kuikandia CDM kumbe anaipaisha!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom